Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 868
- 1,016
Ndo tupeane elimu mkuu.... Ndo dhana ya kuulizaUnasomaga maandiko matakatifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tupeane elimu mkuu.... Ndo dhana ya kuulizaUnasomaga maandiko matakatifu?
Ndo tupeane elimu mkuu.... Ndo dhana ya kuuliza
Aliyesema mada za Mchana Jr hazina maana ana lake jambo, namuogopa kama ukoma. Ukizungumza mambo ya ulozi mbele ya watu , anaebisha sana ni mlozi wa kutisha ila hataki watu wajue
We hujajua kua mada yako hii inayofundisha yeye imemharibia soko kiasi gani.ni Kama vile umerusha jiwe kichakani.ukisikia mayowe ujue limempata mtu.Aisee na bado unaendelea kuzifuatilia kwa karibu na kuchangia kama hivi...... Ungepita kimya ingekupunguzia maumivu mengi
Mtu anapofikia hatua hii yako ni wa kumhurumia tu maana hujashikiwa kisu wala kulazimishwa kusoma... Usije jipa stress za bure... Ukiona new post by mshana jr pita mbali
BTW nakupongeza kwa kutoa dukuduku[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hao sio jike na dume ?View attachment 510276 Bonobo akizibulia msituni, thank god! hatuna haja ya kuziba pua..je na wao wanashawishiwa na lucifer
Wale popo bawa wanatoka wapi mkuu?
Maana kuna kijana mmoja katika story story aliwai nambia kwanba aliwahi kwenda kwa mganga ili awe anaakili darasani na baada ya kwenda akawa anafaulu sana darasani