Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku kuna binti alitaka kunipeleka chooni aisee ! Ilibakia kidogo nimuitie polisi
Nalog off
 
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi #mshana Jr mengi ya Giza hufanyika chooni mshana tuokoe Ni yapi na jinsi ya kujikinga nayo wewe Ni mutu mkubwa Sana
 
Hivi anayechungulia tundu la choo na anayechezea kinyesi cha binadamu mwenzie kupitia ngono isiyo rasmi, nani ana nafuu, au wote wamoja?
 
Inategemea na muktadha
Hivi anayechungulia tundu la choo na anayechezea kinyesi cha binadamu mwenzie kupitia ngono isiyo rasmi, nani ana nafuu, au wote wamoja?
 
Aliyesema mada za Mchana Jr hazina maana ana lake jambo, namuogopa kama ukoma. Ukizungumza mambo ya ulozi mbele ya watu , anaebisha sana ni mlozi wa kutisha ila hataki watu wajue
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Aliyesema mada za Mchana Jr hazina maana ana lake jambo, namuogopa kama ukoma. Ukizungumza mambo ya ulozi mbele ya watu , anaebisha sana ni mlozi wa kutisha ila hataki watu wajue
 
Aisee na bado unaendelea kuzifuatilia kwa karibu na kuchangia kama hivi...... Ungepita kimya ingekupunguzia maumivu mengi
Mtu anapofikia hatua hii yako ni wa kumhurumia tu maana hujashikiwa kisu wala kulazimishwa kusoma... Usije jipa stress za bure... Ukiona new post by mshana jr pita mbali
BTW nakupongeza kwa kutoa dukuduku[emoji120] [emoji120] [emoji120]
We hujajua kua mada yako hii inayofundisha yeye imemharibia soko kiasi gani.ni Kama vile umerusha jiwe kichakani.ukisikia mayowe ujue limempata mtu.
 
Wakati anakwambia hivyo alikuwa mafanikio gani? Je kupitia akili za mganga aliweza kupata namba moja kitaifa?
Maana kuna kijana mmoja katika story story aliwai nambia kwanba aliwahi kwenda kwa mganga ili awe anaakili darasani na baada ya kwenda akawa anafaulu sana darasani
 
Kule sio huku... Kila kitu kina pande mbili...
Dah! Wewe ni Mshana Jr aliyeandika na kuuuuleee kuhusu mambo haya au umebadili gia angani kama yule profesa wa buguruni! Nadhani umeelewa.
 
Back
Top Bottom