Tumeshakubaliana kwamba damu ya Yesu pekee ndio itakayokuondolea dhambi na sio sadaka yako.hakuna aliyebisha kuombewa, tunachobisha hapa ni sadaka. hata mimi nilipookoka nilitubu kwa kuombewa, na ninawaombea watu kwa kuwawekea mikono wanapotubu waokoke au kuomba pamoja nao rehema kwa Mungu. lakini hawatakiwi kuja na sadaka. hoja hapa Ni SADAKA. sadaka sadaka.
Sadaka ni AMRI.DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
kwa kifupi, nimejaribu kusoma andiko lako, hayo maneno mekundu hapo juu ndio yameharibu kila kitu. na huo ndio msingi wa mafundisho ya kishetani. tunasamehewa dhambi bure, Yesu alilipa deni la dhambi bure, msitoze watu ili wasamehewe dhambi, ni wizi kama wizi mwingine tu, Yesu angekuwa anatoza watu pesa hivyo wengine tusingeokoka manake hatukuwa na pesa.
Hakuna kitu kama hicho mzee acha kukaririshwa ujinga na wasaka tonge, huyo sijui mchungaji sijui nabii mwenyewe unaye amini atakutubisha anakula mkeo sirini,Yaani uzini na mke wa Jirani Yako sirini halafu utubu sirini?
Mwombee Mungu Roho mtakatifu akufunulie aloyasema mwenyewe kabla ya kupinga.
Yaani fedha unampa mchugaji harafu unasema humfaidishiIkiwa Mungu alimtoa mwanawe wa pekee Yesu kristo awe sadaka ya kutukomboa,
Nani wewe usitoe sadaka. Sadaka ni Kwa ajili Yako, usidhani unamfaidisha Mchungaji.
Elia alilishwa na Mungu kupitia kunguru, usidhani watumishi wa Mungu wanategenea sadaka zako.
Na usijidanganye ukaenda Kutoa sadaka ya wizi, au ya kutapeli madhabahuni, utaondoka na LAANA.
Ubarikiwe.
hicho ndio msimamo wangu tangu awali. ila wenzako wanasema uende na sadaka unapoenda kutubu. angalia alichoandika huyu mwenzio, nimekata baadhi ya maneno; ni sadaka ya ukombozi ipi na upi anaongelea huyu jamaa hapa? sadaka ya ukombozi ilishatolewa na Yesu, tunasamehewa bure.Tumeshakubaliana kwamba damu ya Yesu pekee ndio itakayokuondolea dhambi na sio sadaka yako.
(1 Wakorintho 6:9-10)Mbona sasa hajanukuu mistari ya biblia walau kwa kila dhambi ili kuback up mafundisho yake?
2 Mambo ya Nyakati 7
14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
hahahaha, nadhani unahitaji kwa kila dhambi uweke mstari kwamba utatubu na kusamehewa kama utatubu kwa mtumishi tena ukiwa na sadaka.(1 Wakorintho 6:9-10)
Au hamjui ya kuwa, wadhalimu, hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati, hawataurithi ufalme wa Mungu,
Wala WAABUDU SANAMU, Wala wazinzi, Wala wafirahi, Wala WALAWITI,Wala wevi, Wala watamanio, Wala WALEVI, Wala watukanaji, Wala wanyanganyi.
(Ufunuo 21:8)
Bali waoga, na wasioamini,na wachukizao, na wauwaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote,sehemu Yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo MAUTI ya pili.
Hayo ni maelekezo ya Mungu.hicho ndio msimamo wangu tangu awali. ila wenzako wanasema uende na sadaka unapoenda kutubu. angalia alichoandika huyu mwenzio, nimekata baadhi ya maneno; ni sadaka ya ukombozi ipi na upi anaongelea huyu jamaa hapa? sadaka ya ukombozi ilishatolewa na Yesu, tunasamehewa bure.
DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
Aliyefundisha ni somo Hilo ni ROHO MTAKATIFU,hahahaha, nadhani unahitaji kwa kila dhambi uweke mstari kwamba utatubu na kusamehewa kama utatubu kwa mtumishi tena ukiwa na sadaka.
hiyo mistari kama ilivyo ni ya jumla, kwamba usipotubia dhambi hizo ulizoorodhesha (bila kuweka condition kwamba ukatubu wapi) hautaurithi ufalme wa Mungu. Mungu akusaidie, najua kuna siku utaelewa, na kama utajifanay shingo ngumu utalazimishwa kuelewa. hata sisi tulikuwa kama wewe.
(Acts 9:3-6)wekeni mstari unaosema ukaombewe. kwani unatubu kwa mtu au kwa Mungu?
acha kujifurahisha dogo, maelekezo ya Mungu toka mstari gani kwenye Biblia? utaje mstari unaotoa maelekezo kwamba " DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:Hayo ni maelekezo ya Mungu.
Sitaongeza Wala kupunguza. Ikiwa huamini, Ingia maombini uliza.
Hakuna popote nimesema lazima ubebe sadaka ikiwa huna.
Sadaka ni amri, Si Kwa ajili ya kununua msamaha.
Sadaka ni hiari na ni shukurani .
Ukombozi unahusika Kwa kutumia Damu ya Yesu, na kuvunja NDOA za kipepo na mikataba ya kipepo Kwa dhambi husika hapo juu.
Sadaka inatumika kureplace Mahari mapepo yalitoka Kwa mfungwa Ili kuzini naye Rohoni.
Amen
MATENDO 9:3 - 6 INASEMA:(Acts 9:3-6)
Ni hayo tu Kwa Leo.acha kujifurahisha dogo, maelekezo ya Mungu toka mstari gani kwenye Biblia? utaje mstari unaotoa maelekezo kwamba " DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa". au ni maelekezo ya Mungu kwenye ndoto au maono, maelekezo yako yameegemea wapi, hebu tueleze. ni kipi hicho alichosema Mungu ambacho huwezi kuongeza wala kupunguza,hahahahaha, unachekesha kweli kweli.
wewe umechanganyikiwa au umepagawa na pepo la upotoshaji, shetani hutumia wanadamu kupotosha yaliyo ya Mungu, hata dini za ajabuajabu zilianza na watu wasiojua Neno la Mungu kama wewe na shetani anawapenda sana watu kama wewe. Mungu akusaidie, upo too vulnerable na umepotea mbali mno.Ni hayo tu Kwa Leo.
Ubarikiwe.
Message sent!!Acha bangi
wewe hujaokoka, kaokoke upya kabisa na unatakiwa ukae mikononi mwa mtumishi anayejua Neno la Mungu akufundishe manake unaeneza mapotofu matupu na hapo ulipo wala hufanyi kazi yeyote ya Mungu, uhaiharibu.Message sent!!
Ubarikiwe, Mungu akipenda atakuokoa Kwa muda wake,
Muhimu umesoma message, KAZI ya muhubiri ni kuhubiri basi.
Amen
Chukua sadaka kamuone mtumish akuombee.Salaam shalom.
INTRODUCTON.
Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).
Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili tuendelee kuwa WATAKATIFU.
DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
1. ZINAA NA UASHERATI.
UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.
UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.
Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.
2. USHOGA.
Ikiwa uliwahi kuwa shoga, ukaamua kuacha, kamwe usitubu sirini na kuishiwa hapo, USHOGA huambatana na mapepo na kufungwa NAFSI, mfungwa kamwe hawezi jifunguanpingu mwenyewe, unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.
3. USAGAJI.
Mwanamke pia aliyewa kufanya dhambi hiyo, huwezi kufunguliwa na Utumwa na HATIA hiyo pekeako Kwa kutubu sirini, nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
4. PUNYETO/ KUJICHUA.
Ikiwa uliwahi kujichua, ukaamua kuacha, unahitaji kwenda Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi Ili ufunguliwe, Mpiga PUNYETO ni mfungwa, ni mke au mume wa Roho chafu katika Ulimwengu wa Roho, hivyo kufunguliwa ni LAZIMA utoe sadaka, uvunje NDOA chafu hiyo ya kiroho na hati ya NDOA chafu ya kiroho iondolewe, usipofanya hivyo, unajidanganya. Mbinguni huingii ng'o!!
Neno Hilo hapo juu ni ROHO. Amen.
5.MWANAMKE KUOA MWANAMKE/MWANAUME KUOA MWANAUME MWENZIE.
Kutubu dhambi hii sirini bila watumishi wa Mungu ni kujidanganya. Chukua sadaka, nenda Kwa mtumishi, Sema Kweli Ili UOMBEWE na kufunguliwa, NDOA haramu ivunjwe na ufungwa wako kiroho uondolewe. Amen.
6. ORAL SEX.
Ikiwa uliwahi kushiriki oral sex, kunyonya au kuramba Kwa mdomo sehemu za Siri za mwanamke au Mwanaume na ukatambua ni DHAMBI, ukaacha, Bado u kifungoni.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe na Mungu.
7. ABORTION./ UTOAJI MIMBA/ KUFUNGA UZAZI/ KUTUMIA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI.
Kimbia haraka Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli ,beba sadaka kulingana na uwezo wako, UOMBEWE ufunguliwe.
Ukipuuza Utakataliwa GETI la Mbinguni.
9. IKIWA ULIWAHI TUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME/ KIKE.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
10. MAUAJI.
Ikiwa uliwahi kuua bila kukusudia ,ukahukumiwa JELA ukatoka, ikiwa uliua Kwa Siri na hukubainika, ikiwa ulishiriki kuua, usijidanganye kuwa unaweza kutubu sirini, HATIA Ili ikuondoke uwe na Amani, Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.
11. IBADA ZA SANAMU, KUSHIRIKI IBADA ZA WAFU NA KUTOA SADAKA KWA MIZIMU KIMILA NK NK.
Kushiriki Ibada za KIMILA na Kutoa sadaka Kwa Roho za kishetani za Mababu, ni DHAMBI pia, ni kufungwa ni Utumwa ambao huwezi kujifungua pekeako.
Ukiamua kuacha na kuokoka, hatua inayofuata ni kushirikisha watumishi kukusaidia kukutenga na madhabahu hizo.
Sadaka ni LAZIMA, sababu, Ulimwengu wa Nuru na Giza sadaka ni inevitable. Amen
HITIMISHO.
Dhambi nilizotaja hapo juu, ni baadhi tu ya dhambi ambazo huwezi tubu pekeako, zimetajwa sawasawa na Ruhusa ya Roho mtakatifu Kwa mtumishi wake sawasawa na ufunuo wake apendavyo.
NB: Si DHAMBI zote zinahitaji kuona mtumishi wa Kweli kukusaidia kufunguliwa pingu za dhambi, ni baadhi ya dhambi ambazo Zina vifungo na attachment na maagano ya kipepo na kishetani.
Mungu awabariki.
Source: Nabii Justine Ibrahim.
Amen.