Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

No comment.
no comment kwasababu umeaminishwa mtumishi anaweza kukupeleka kwa Mungu, ndio maana bila yeye unaamini kuna baadhi ya dhambi huwezi kusamehewa, na unatakiwa kutoa na sadaka unapotubu. kama ingekuwa hadi umwone mtumishi,kamwulize huyo aliyekufundisha kwamba, wale waliolala hospitali hawanyanyuki ila wanaongea nao wanatakiwa wapeleke sadaka kwa mtumishi awaombee msamaha au mtumishi afuate sadaka yake palepale hospitali kabisa?
 
hizi ni siku za mwisho kweli, walitabiriwa kutokea watu wenye mafundisho kama ya kwako ambayo ni ya kuzimu kabisa, yanaenda kinyume na njia ya msalaba. sisi wanadamu bila msalaba hatuna lolote na hatutambuliwi na Mungu. na kazi hiyo ya msalaba sio ya matendo ya mwili ni neema. hivyo hata unapotubu omba rehema na neema kwake ukijua huna cha kulipa kikatosha ila unahitaji kuhurumiwa tu tena bure, kwasababu you can never afford to pay the price.
 
No comment!!
 
No comment.
 

Sijakuelewa kwasababu majibu yako ni agree to disagree. Mara nenda kwa mtumishi, kama yuko mbali mtumishi anatosha, akiwa karibu mtumishi atamfuata. Hakuna straight forward answer ambalo linajibu hoja in specific way.
 
Sijakuelewa kwasababu majibu yako ni agree to disagree. Mara nenda kwa mtumishi, kama yuko mbali mtumishi anatosha, akiwa karibu mtumishi atamfuata. Hakuna straight forward answer ambalo linajibu hoja in specific way.
Mtumishi,

Si Rahisi kupata jibu moja straight Kwa case tofauti.

Jibu straight ni mtumishi ahusike. Ingawa pia, ikiwa mtu yupo kitandani na hakuna uwezekano wa kupatikana mtumishi karibu,au mtu yupo katika Ajali mbaya Yu karibu rkufa, aweza tubu Kwa Mungu direct na akasamehewa.

Mungu ni Mungu wa HAKI, mwelewa, mwenye HEKIMA yote.

Amen
 
Kweli dini zilitengenezwa kwaajili ya watu maskini na wenye akili ndogo
 
Kweli dini zilitengenezwa kwaajili ya watu maskini na wenye akili ndogo
Haihubiriwi dini hapa, Wala hayupo aliyekukaribisha kwenye dini Fulani.

Anahubiriwa Yesu, unahubiriwa utakatifu.

Mungu akusaidie.
 
ushahidi wako ni kutoka fungu lipi??
 
Nimeandika Oral Sex Si Romance.

Usijifiche chini ya kivuli Cha mchicha.

Imeandikwa, afichaye dhambi hatafanikiwa, Bali atubuye na kuacha, atabarikiwa.
Oral sex siyo sehemu ya romance ?

Ebu wakulungwa nisaidieni, hivi mwanamke kuulamba lamba uume wa mmewe siyo sehemu ya romance ?

Mwanaume kulamba lamba papuchi ya mkewe na ulimi siyo sehemu ya romance ?

Nimekuambia mwaongozo wa ukristo ni Biblia, nioneshe wapi kumeandikwa kuwa msifanye oral sex, huna majibu
 
sina haja ya kupitia coment zote bali nakwambia umedanganyika na unazidi kudanganya.....alaaah akbar
(Wagalatia 1:6-12)

Mtu yeyote au Malaika akiwaletea INJILI ingine tofauti na Ile tuliowaletea na ALAANIWE!!

Quran imekuja na kuandika baada ya kufufuka Kwa Yesu, nawaombea waislamu mtoke katika LAANA hiyo muokolewe, msipotubu mtatupwa Jehanum siku ya HUKUMU.

Amen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu anasamehe dhambi zote tukitubu na kuacha.

Muhimu tu kujua kuwa zipo dhambi huwezi malizana nazo binafsi sirini Hadi uwashirikishe watumishi wa Mungu, PUNYETO ikiwa mojawapo.

Amen

Ubarikiwe.
 
Kuacha dhambi is a process not a one time thing like an accident kwamba pah!! Umemaliza... matengenezo...a step by step thing....

Ndio maana bible inasema mwenye haki wangu anaweza anguka hata mara 7...
To reach/achieve completeness is process
I agree, ni process.

Muhimu, zingalia makatazo na Maelekezo ya thread.

Amen, ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…