Nimeelekeza, nenda Kwa mtumishi wa Mungu aliyeokoka, mtumishi wa Kweli, mtakatifu.Ndo maana mnatapeliwa na yeye dhambi zake anamshirikisha nani?msichojua huyo unayeenda kutubu kwake ana dhambi zaidi yako
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hujashurutishwa kusoma,Huyu huyu Mungu aliyeshuhudia wazee wetu wakichukuliwa utumwani zaidi ya miaka 400 iliyopita?
Huyu huyu Mungu alomuumba huyo tunaetajiwa kuwa ni shetani na hakujua kama angemuasi baadae? Na jwa nini alipomuasi asingemuua akamtupa chini ya vilindi vya maji kama kitabu kisemavyo?
Kuwa na uwezo timamu wa kufikiri juu ya ukisemacho sio kutuletea ngano za kipumbavu kana kwamba na sisi umetushikia akili zetu
TOBA kwanza, na iache dhambi kwanza,Ndo ukazanie Sadakaa? Acha utapeliii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
They are not factual tatizo..ni opinions zaidI agree, ni process.
Muhimu, zingalia makatazo na Maelekezo ya thread.
Amen, ubarikiwe.
Hujaona TOBA hapo?Ebu soma uniambie ametubu sehemu gani
Luka 23:40-43
[40]Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo?
[41]Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa.
[42]Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
[43]Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
Not opinion, ni Spiritual.They are not factual tatizo..ni opinions zaid
Yesu alikuja na alishaubeba msalaba Kwa dhambi za wote, pale msalabani.Itoshe kusema “kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe”
Yah..spiritual opinionsNot opinion, ni Spiritual.
Anaenda Kwa mtumishi mwingine.Na Mchungaji dhambi zake za kula kondoo wa bwana anatubu kwa nani?
Uko sawa. Sadaka ni shukrani tu.Mungu hahitaji tulipe chochote au tupitie kwa yeyote ili atusamehe dhambi. Ni neema na rehema zake hutuondolea hatia na kutuweka huru mbali na dhambi katika Jina la Yesu.
Basi kama hivo haina haja ya kutubu, watu waendelee kutenda dhambi Yesu alishaubeba msalaba wa dhambi.Yesu alikuja na alishaubeba msalaba Kwa dhambi za wote, pale msalabani.
Ukitubu, unasamehewa.
Kuzimu na Jehanum ni Kwa shetani asiye na nafasi ya kutubu.
Wewe unaweza kutubu na kuepuka kutupwa Jehanum na shetani.
Ubarikiwe.
Swali lako limejibiwa tayari, soma comments zote.Ni kitabu gani kimeeleza hivyo mtumishi ili na mimi nikipitie
Ndio alifia msalabani dhambi zote.Basi kama hivo haina haja ya kutubu, watu waendelee kutenda dhambi Yesu alishaubeba msalaba wa dhambi.
Acha utapelii wee.TOBA kwanza, na iache dhambi kwanza,
Sadaka ya mbwa, haipokelewi madhabahuni.