nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Huyu huyu Mungu aliyeshuhudia wazee wetu wakichukuliwa utumwani zaidi ya miaka 400 iliyopita?
Huyu huyu Mungu alomuumba huyo tunaetajiwa kuwa ni shetani na hakujua kama angemuasi baadae? Na jwa nini alipomuasi asingemuua akamtupa chini ya vilindi vya maji kama kitabu kisemavyo?
Kuwa na uwezo timamu wa kufikiri juu ya ukisemacho sio kutuletea ngano za kipumbavu kana kwamba na sisi umetushikia akili zetu