Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Haya ni mambo ya imani no one can prove this.
Ndiyo maana hata mjadala wake hauwezi kuwa na mwisho.
KAZI yetu kuhubiri,

Kuamini na kuacha DHAMBI ni uamuzi binafsi.

Amen, ubarikiwe!!
 
Baada ya kumsaliti Yesu, petro alienda kutubu kwa mchungaji au kuhani yupi?

Baada ya kukaid maagizo ya Mungu nabii Musa pale mlimani alienda kutubu kwa nani?
Petro na Musa, walifanya moja ya dhambi hapo juu?
 
Kuwapa masikini na vilema ni sawa
 
Samahani sijaelewa kwenye sadaka inakuwa ya kazi gani? Tuna damu ya Yesu, agano la kale ilikuwa lazima mnyama achinjwe ili mtu aondolewe dhambi yake, agano jipya tuna damu ya Yesu inayoachiloa utakaso, Tukiungama dhambi zetu kwa kweli Mungu anazifuta, dhambi ina vifungo lakin ipo damu ya Yesu yenye nguvu sasa sadaka inakuwa ya kazi gani hapo??
 
Tupe
Tupe reference ya maandiko
 
Dhambi tajwa hapo juu, maelekezo ni kumshirikisha Mtumishi wa Mungu wa Kweli.

Amen
 
Mada inaongelea baadhi ya dhambi ambazo ni LAZIMA kushirisha mtumishi.

Zote tajwa hapo juu, zinahusisha maagano.

Ubarikiwe.
 
Ya UZINZI Kwa Mfano, ni Siri wewe na Mungu wako?
Dhambi Haina usawa, hupaswi kumtangazia binadamu matendo yako maovu. Ukitaka kutubu piga goti ulie mbele ya Mungu lakini sio kupitia kwa binadamu mwenzako.
 
Ko
Lete ushahidi/uthibitishi japo mdogo tu wa kimaandiko. Vinginevyo, haya yatahesabika kuwa ni mawazo binafsi tu ya mtu ambayo watu watakuwa na uhiyari wa kuyatii au kutotii.

Aaiseee wewe ni muongo wa wazi kabisa mambo ya walawi inasema mtu shahawa zikitoka unakuwa najisi kwa siku nzima sharti ni uoge (ujitakase) na hiyo hatia inaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…