Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Wizi pia umo,

Nimesema baadhi, angalizo liko kwenye " baadhi".
 
 
We ndio wale mwamposa anawapiga pesa live. Hujaielewa Biblia bwanamdogo
 
Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.

Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
Kwa andiko lipi la biblia au maagizo yapi ambayo Mungu ameyatoa juu ya hayo. Kuna watumishi mmekaa kutengeneza mazingira ya dhambi na kuwaweka watu mbali na Mungu huku nyie mkijiweka katikati kama madalali hasa kwa wale wasiojua au waliokosa Maarifa.

Mkishajitawaza kuwa wachungaji kwa njia mnazojua ninyi, mnajimilikisha peopo (mbingu) na mamlaka makubwa huku mkiwaweka watu mbali na Mungu! Dhambi zote ni sawa na ni chukizo mbele za Mungu Ndio maana Mungu akaweka amri zake Ili Kila azishikaye asipotee Bali awe na uzima wa milele.

Ni aibu kubwa ninyi mmekuja kufanya classification ya dhambi, ipi kubwa na ipi ndogo na namna ya kuziungama dhambi hizo mbele za Mungu kinyume na Maandiko matakatifu mbele za Mungu!

Na lengo kubwa ni baada ya kuona kwamba watu wengi au kundi kubwa limeanguka katika dhambi hizo. Watu hao Wana kiu ya huruma ya Mungu hivyo mnafanya kama chanzo Cha mapato. Uchungaji umekua Ajira na hamtaki kufanya kazi nyingine mnashindana kwa kumiliki Mali za udhalimu.

Yesu Kristo aliweka wazi dhamira ya kuendea mauti ya Msalaba. Ni Ili Kila amwaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele! Roho Mungu anadhihirisha Hilo kwa ishara ya kupasuka kwa pazia la hekalu. Ule mpaka uliokuwa umewekwa wa kwenda mbele za Mungu, na Mungu akaweka makuhani(kasome kitabu Cha walawi) Kila mtu ana nafasi sawa ya kwenda mbele za Mungu, Kuomba toba na msamaha na hata kutoa sadaka.

Hatuhitaji madalali tena wa kuzichukua sadaka na kwenda kufanyia miradi Yao huku wakituaminisha wamefanya upanisho na Mungu. Walawi walikua wanachukua sadaka na kuzitoa kwa Mungu, iwe za amani, za kuteketezwa na zile za upatanisho.

Yesu ameweka dhahiri dhambi zisizoasamehewa na ni dhambi Moja tu "kumkufuru Mungu"
Marko 3:28-29
28 Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote;

29 bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,

Yesu aseme tuende kwake mana Kuna upatanisho yeye mwenyewe anasamehe
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Yule mwanamke aliyekamatwa katika uzinzi baada ya waliokua wanajiona watakatifu kukimbia Yesu hakuwaita Ili atoe msamaha Bali alimwambia nenda zako na usitende dhambi tena.
Maandiko ni mengi nikiweka hayaishi!

Wafundisheni watu kumjua Mungu na kuacha dhambi na sio kuwatenga watu na Mungu kwa mwamvuli wa kupata fedha mnazoita zadaka za namna mbali mbali! Kuna watu wanajitoa dhabihu, kwa maana ya kufunga na Kuomba kama sehemu ya toba zao! Wanajitolea kuwasaidia watu wengine kwa Hali na Mali kama sehemu ya toba zao! Na Mungu anawasikia na kuwapatia sawa sawa na mahitaji ya Mioyo Yao mana asema hivi: Isaya 1:18
Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Wewe ni nani unayeweka standards za dhambi na kuwanyima watu acces na Mungu?

Haya tuambie sadaka aliyotoa yule mwanamke ambaye alifumaniwa katika Uzinzi Ili asemehewe? Tuambie ni sadaka ipi alitoa Mariam Magdalene Ili asemehewe dhambi zake?
 
Nini maana ya pazia la hekalu kuchanika?

Mathayo 11:28... Yesu alisema twende kwake wale wato tulemewao na mizigo ya dhambi atatupumzisha,,, hakusema twende kwa kasisi, padri, nabii ama mchungaji awaye yote
 
Aziungamaye dhambi zake na kuziacha atapata rehema na kusamehewa.
 
Maandiko nimeweka labda kama huyataki.

Sadaka Si lazima pesa, ikiwa huna, moyo wako na utayari wako Toka ndani ni muhimu,

Mwanamke mzinzi alitubu hadharani na case ilisolviwa hadharani, huwezi kuzini Kwa Siri ukatubu Kwa Siri.

Inaonekana wazinzi ni wengi humu, neno ni upanga ukatao kuwili, limenyooka, halijapinda,

Endelea kujifariji, Mbinguni huingii ng'o!!
 
Usipende kuamini dini na kanuni za watu wa nje....hizi dini ni fantasies tu, hazina maana yeyote kwetu sie Waafrika kwani kama kuua mbona mitume karibia wote walikuwa wanaua na wako mbinguni supposedly? Kwanini waue na Mungu awapokee ikiwa walisha ambiwa kuua ni dhambi? Sex - Mohammed alikuwa mbakaji tena mzuri tu na alikuwa anapiga miti vitoto kina Aisha, mbona watu wanaamini kuwa ni mtume, aliua wanaume at will na kubaka wake zao, hivi mnaamini ni Mungu kweli alimtuma kubaka wake za watu na kutomba vitoto? Hizi dini ni mchongo tu hazina umuhimu wowote kwetu, zilitungwa ama kuletwa ili wajanja waweze kutawala wanadamu.
 
Katika mada hii, dini imetajwa wapi?

Uwe na uwezo wa kumtofautisha kati ya dini na Imani.
 
Binadam tunatoa sadaka kwa Mungu. Kumplease Mungu tupate huruma yake. Je, Mungu alipotoa sadaka ilienda kwa nani, alimtolea nani?
Kumbe Mungu ana walio wakubwa kuliko yeye?
 
Yaani mi nioige nyeto halafu niende kumwambia padri kweli? Wakati unakuta padri mwenyewe ni mpige puchu nguli
 
Binadam tunatoa sadaka kwa Mungu. Kumplease Mungu tupate huruma yake. Je, Mungu alipotoa sadaka ilienda kwa nani, alimtolea nani?
Kumbe Mungu ana walio wakubwa kuliko yeye?
Mungu alivaa mwili wa mwanadamu akajitoa sadaka, mwili ukafa Kisha akajifuufua na kupaa Mbinguni.

Ndipo ujue ukibania pesa Yako Kutoa sadaka, uhai wako unaweza kukutoka iwe sadaka ikiwa nduguyo atakwenda Kwa mganga na kukutoa ndagu.

Kuwa makini sana.
 
Kutubu ni lazima..na Mungu anasikia kutubu kwa kila mwenye kukosea..bila kujali dhambi...mana dhambi zote ni sawa mbele za Mungu. Kwakuwa kuacha dhambi ni process basi inaoendeza mtu akajongea kwa Mungu wake kwa msaada wa watumishi wa Mungu, japo nao ni binadamu..na sio lazima uwatajie dhambi zako..ila kufuata utaratibu kiimani tu badala ya kuwa peke yako..Roho mtakatifu akikusaidia kutubu atakupa the best way to reconcile with your God, the almighty. Utoaji sadaka is again kama catalyst kwenye mchakato wako wa kuacha dhambi..its all possible to God, one day you will become free from your sins.
 
Yaani mi nioige nyeto halafu niende kumwambia padri kweli? Wakati unakuta padri mwenyewe ni mpige puchu nguli
1. Shida IPO kwenye NDOA uliyofunga na mapepo wakati ukipiga punyeto,

2. Shida IPO kwenye Pete ya NDOA uliyovikwa na mapepo Kwa kupiga punyeto,

3. Shida IPO kwenye hati ya NDOA uliyooa mke jini Kwa kupiga punyeto,

4. Shida IPO kwenye Pete ya NDOA uliyovikwa na mke wa kiroho ambaye ni Pepo au Jini anayekumiliki bila wewe kujua, amekuvisha Pete IPO kidoleni na huioni.

5. Shida IPO kwenye mahari uliyoitoa kuona na jini unapopiga punyeto na hujui Wala kujali🤔

6. Shida IPO Kwa watoto unaozaa na mapepo , watoto hao ni nusu mtu nusu Pepo, Kwa kupiga punyeto unazaa watoto wa kiroho na hutilii maanani, manii unazomwaga huchukuliwa na kupelekwa kuzalisha watoto ambao hurudi duniani kutesa WANADAMU wakiwa mapepo nusu Pepo nusu binadamu!!

Pole sana.
 
Si Rahisi kihivyo,

Yaani umwibie muhindi Kisha ukatubu kimyakimya sirini Kwa Mungu?

Husomi maandiko yasemayo, ukigundua Kuna mtu una neno naye Ukiwa hekaluni, iache sadaka Yako, nenda katatue shida hiyo Kisha Rudi utoe sadaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…