Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siku za mwisho ni kifo chako, hakuna jengo la kanisa litakalonyakuliwa, hizi ni ngonjera tu.And you shall be liable Kwa kuukataa UKWELI.
Hizi ni siku za mwisho, Mungu anataka watu wake, Kanisa lijitakase Ili linyakuliwe.
U arikiwe. Amen
Woi. Hatudanganyiki ng'o na sadaka zetu hamzipatiNi mada inayochoma, ndo maana milio lazima iwe mingi.
Huwezi kupona jipu bila maumivu!!
ukitembea na mke/mume wa m2 hautasamehewa ata ukiombewa na watumishi,,,sharti ni lazima atafutwe mume/mke wa uliyezini nae na uwaombe msamaha akikusamehe utasamehewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Salaam shalom.
INTRODUCTON.
Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).
Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili tuendelee kuwa WATAKATIFU.
DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:
1. ZINAA NA UASHERATI.
UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.
UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.
Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.
2. USHOGA.
Ikiwa uliwahi kuwa shoga, ukaamua kuacha, kamwe usitubu sirini na kuishiwa hapo, USHOGA huambatana na mapepo na kufungwa NAFSI, mfungwa kamwe hawezi jifunguanpingu mwenyewe, unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.
3. USAGAJI.
Mwanamke pia aliyewa kufanya dhambi hiyo, huwezi kufunguliwa na Utumwa na HATIA hiyo pekeako Kwa kutubu sirini, nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
4. PUNYETO/ KUJICHUA.
Ikiwa uliwahi kujichua, ukaamua kuacha, unahitaji kwenda Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi Ili ufunguliwe, Mpiga PUNYETO ni mfungwa, ni mke au mume wa Roho chafu katika Ulimwengu wa Roho, hivyo kufunguliwa ni LAZIMA utoe sadaka, uvunje NDOA chafu hiyo ya kiroho na hati ya NDOA chafu ya kiroho iondolewe, usipofanya hivyo, unajidanganya. Mbinguni huingii ng'o!!
Neno Hilo hapo juu ni ROHO. Amen.
5.MWANAMKE KUOA MWANAMKE/MWANAUME KUOA MWANAUME MWENZIE.
Kutubu dhambi hii sirini bila watumishi wa Mungu ni kujidanganya. Chukua sadaka, nenda Kwa mtumishi, Sema Kweli Ili UOMBEWE na kufunguliwa, NDOA haramu ivunjwe na ufungwa wako kiroho uondolewe. Amen.
6. ORAL SEX.
Ikiwa uliwahi kushiriki oral sex, kunyonya au kuramba Kwa mdomo sehemu za Siri za mwanamke au Mwanaume na ukatambua ni DHAMBI, ukaacha, Bado u kifungoni.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe na Mungu.
7. ABORTION./ UTOAJI MIMBA/ KUFUNGA UZAZI/ KUTUMIA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI.
Kimbia haraka Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli ,beba sadaka kulingana na uwezo wako, UOMBEWE ufunguliwe.
Ukipuuza Utakataliwa GETI la Mbinguni.
9. IKIWA ULIWAHI TUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME/ KIKE.
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
10. MAUAJI.
Ikiwa uliwahi kuua bila kukusudia ,ukahukumiwa JELA ukatoka, ikiwa uliua Kwa Siri na hukubainika, ikiwa ulishiriki kuua, usijidanganye kuwa unaweza kutubu sirini, HATIA Ili ikuondoke uwe na Amani, Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.
11. IBADA ZA SANAMU, KUSHIRIKI IBADA ZA WAFU NA KUTOA SADAKA KWA MIZIMU KIMILA NK NK.
Kushiriki Ibada za KIMILA na Kutoa sadaka Kwa Roho za kishetani za Mababu, ni DHAMBI pia, ni kufungwa ni Utumwa ambao huwezi kujifungua pekeako.
Ukiamua kuacha na kuokoka, hatua inayofuata ni kushirikisha watumishi kukusaidia kukutenga na madhabahu hizo.
Sadaka ni LAZIMA, sababu, Ulimwengu wa Nuru na Giza sadaka ni inevitable. Amen
HITIMISHO.
Dhambi nilizotaja hapo juu, ni baadhi tu ya dhambi ambazo huwezi tubu pekeako, zimetajwa sawasawa na Ruhusa ya Roho mtakatifu Kwa mtumishi wake sawasawa na ufunuo wake apendavyo.
NB: Si DHAMBI zote zinahitaji kuona mtumishi wa Kweli kukusaidia kufunguliwa pingu za dhambi, ni baadhi ya dhambi ambazo Zina vifungo na attachment na maagano ya kipepo na kishetani.
Mungu awabariki.
Source: Nabii Justine Ibrahim.
Amen.
Jinsi mlivyokuwa wa mchongo WIZI haujaorodhesha badala yake umeweka dawa za nguvu ya kiume na punyeto.Ikiwa Mungu alimtoa mwanawe wa pekee Yesu kristo awe sadaka ya kutukomboa,
Nani wewe usitoe sadaka. Sadaka ni Kwa ajili Yako, usidhani unamfaidisha Mchungaji.
Elia alilishwa na Mungu kupitia kunguru, usidhani watumishi wa Mungu wanategenea sadaka zako.
Na usijidanganye ukaenda Kutoa sadaka ya wizi, au ya kutapeli madhabahuni, utaondoka na LAANA.
Ubarikiwe.
Sadaka niliyoiongelea Si sadaka ya kufanyika mbadala Ili usamehewe dhambi, HAPANA.unaniuliza mimi tena? Mimi nimesema kwenye Biblia hakuna sehemu hata moja inayoelekeza tutoe sadaka ili tusamehewe dhambi, au kwamba lazima twende tukaombewe na mwanadamu mwingine. wewe unakuja kuniuliza kwamba ni wapi? that means kama haipo kwenye Biblia hayo ni mafundisho ya kibinadamu tu ambayo wewe unajua mlikoyatoa, nje ya Biblia.
mnasimamia kwenye mstari gani? ndio swali.
Unachekesha sanausidhani watumishi wa Mungu wanategenea sadaka zako.
LUKA 23:42-43 mwizi anamwambia ee Yesu unikumbuke katika ufalme wako na YESU anajibu leo hii tutakuwa wote peponi. Toba kwa Yesu haina formula yeye ndie mwamuziSala ya toba kwa mwizi umeiona wapi wewe
Ujumbe ni Kwa waliookoka. Ikiwa umesoma na kuamini, Sharti uokoke kwanza ndo utoe sadaka,Madalali mapato yamepungua mnaanza vitisho 😂 😂 😂
Huo ndo UKWELI.Unachekesha sana
Huu uongo wa wazi kabisa unataka watu waukubali?HUMU NDANI KILA MTU NI LECTURER HAKUNA KILAZA NDIO MWANZO WA UPOTOFU KILA MTU NI MJUAJI
Asante mtumishi Kwa majibu murua.LUKA 23:42-43 mwizi anamwambia ee Yesu unikumbuke katika ufalme wako na YESU anajibu leo hii tutakuwa wote peponi. Toba kwa Yesu haina formula yeye ndie mwamuzi
Weka andiko ya haya unayosema tofauti na hapo hizi ni porojo na upotoshaji.Sadaka niliyoiongelea Si sadaka ya kufanyika mbadala Ili usamehewe dhambi, HAPANA.
Mtu anayejichua Kwa Mfano, awe kwenye NDOA au nje ya NDOA,
Ukijichua, katika Ulimwengu wa Roho umefunga NDOA kabisa katika Ulimwengu wa Roho.
Na ndoa hiyo, lazima Mahari imetolewa na mapepo, hivyo ajichuaye, ni mfungwa kamili.
Kuondoa hati ya NDOA ya NDOA ya kiroho, kuondoa sadaka hiyo na Mahari hiyo, lazima ukomboe na sadaka na Damu ya Yesu.
Unahitaji kufundishwa na Roho mtakatifu.
Pia maandiko yapo, nikikuletea maandiko utaamini?
Sadaka itokanayo na wizi haipokelewi madhabahuni.Jinsi mlivyokuwa wa mchongo WIZI haujaorodhesha badala yake umeweka dawa za nguvu ya kiume na punyeto.
Wizi mmeshindwa kuuweka kwasababu watanzania wote ni wezi.
Mmechagua vile vitu ambavyo ni popular ili mzidi kuwatisha watu muendelee kutafuna sadaka.
hayo mafundisho mnayatoa kwenye mstari gani wa Biblia? ukiona huna mstari jua ni mafundisho ya kuzimu, na mnayafurahia. sikia;Sadaka niliyoiongelea Si sadaka ya kufanyika mbadala Ili usamehewe dhambi, HAPANA.
Mtu anayejichua Kwa Mfano, awe kwenye NDOA au nje ya NDOA,
Ukijichua, katika Ulimwengu wa Roho umefunga NDOA kabisa katika Ulimwengu wa Roho.
Na ndoa hiyo, lazima Mahari imetolewa na mapepo, hivyo ajichuaye, ni mfungwa kamili.
Kuondoa hati ya NDOA ya NDOA ya kiroho, kuondoa sadaka hiyo na Mahari hiyo, lazima ukomboe na sadaka na Damu ya Yesu.
Unahitaji kufundishwa na Roho mtakatifu.
Pia maandiko yapo, nikikuletea maandiko utaamini?