Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Anayesamehe dhambi ni Mungu.

Mtumishi wa Mungu ni chombo chake na msaada wa kukufungua pingu wewe uliye mtumwa.

Amen
sawa wewe je unayajua mawazo ya watu..Kama sio kuingilia kazi ya mungu kazi yako ni kuhubiri kutubu ni kaz ya waumin wako...Na mungu ndiye ajuaye kuwa wametubu.....Yeye alisema mkitaka kusamehewa wasameheni waliowaudhi.Je hapo kna sadaka.Ungetofautsha kutubu na sadaka maana kila mtu akienda kanisani lazma atoe sadaka.
 
Wachungaji sasa walivyo wambea, unaamua utubu dhambi zako masikini unamwambia nilitoa mimba.....anapaza sauti sasa kanisa zima oooooh shika raba shikaa raba umeuaaa kiumbe cha mungu kanisa zima linaguna haaaaaa.

Kwendeni huko Mungu angekua anatangaza hivi maovu yetu ingekuaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh!! Mtu unaanzaje kwani?

Sisi wengine dhambi zetu (km kweli ni dhambi kadri ya imani zao), bas tutakapo tubu hata huyo mtumishi ataanguka kwa hofu na uoga mkuu.

[emoji23][emoji23][emoji23] watuacheee.
 
Salaam shalom.

INTRODUCTON.

Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).

Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili tuendelee kuwa WATAKATIFU.

DHAMBI AMBAZO KAMWE HATIA YAKE HAITAKUONDOKA HADI USHIRIKISHE WATUMISHI WA MUNGU ILI UOMBEWE UKIAMBATISHA NA SADAKA YA UKOMBOZI NI ZIFUATAZO:

1. ZINAA NA UASHERATI.

UASHERATI ni kufanya Tendo la zinaa na mtu nje ya NDOA asiye mkeo au mumeo.

UZINZI ni kufanya tendo la uchafu, zinaa kabla ya Kuoa au Kuolewa.

Ukizini na mke wa mtu au mume wa Mtu, usijidanganye kuwa ukitubu sirini utasamehewa, HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi. Watumishi Wana BUSARA ya kusuluhisha dhambi hiyo pande zote mbili Ili ufunguliwe.

2. USHOGA.

Ikiwa uliwahi kuwa shoga, ukaamua kuacha, kamwe usitubu sirini na kuishiwa hapo, USHOGA huambatana na mapepo na kufungwa NAFSI, mfungwa kamwe hawezi jifunguanpingu mwenyewe, unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.

3. USAGAJI.

Mwanamke pia aliyewa kufanya dhambi hiyo, huwezi kufunguliwa na Utumwa na HATIA hiyo pekeako Kwa kutubu sirini, nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.

4. PUNYETO/ KUJICHUA.

Ikiwa uliwahi kujichua, ukaamua kuacha, unahitaji kwenda Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi Ili ufunguliwe, Mpiga PUNYETO ni mfungwa, ni mke au mume wa Roho chafu katika Ulimwengu wa Roho, hivyo kufunguliwa ni LAZIMA itoe sadaka, ivunjwe NDOA chafu hiyo ya kiroho na hati ya NDOA chafu ya kiroho ionfolewe, usipofanya hivyo, unajidanganya.

Mbinguni huingii. Neno Hilo hapo juu ni ROHO. Amen.

5.MWANAMKE KUOA MWANAMKE/MWANAUME KUOA MWANAUME MWENZIE.

Kutubu dhambi hii sirini bila watumishi wa Mungu ni kujidanganya. Chukua sadaka, nenda Kwa mtumishi, Sema Kweli Ili UOMBEWE na kufunguliwa, NDOA haramu ivunjwe na ufungwa wako kiroho uondolewe. Amen.

6. ORAL SEX.

Ikiwa uliwahi kushiriki oral sex, kunyonya au kuramba Kwa mdomo sehemu za Siri za mwanamke au Mwanaume na ukatambua ni DHAMBI, ukaacha, Bado u kifungoni.

Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe.

7. ABORTION./ UTOAJI MIMBA/ KUFUNGA UZAZI/ KUTUMIA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI.

Kimbia haraka Kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli beba sadaka kulingana na uwezo wako, UOMBEWE ufunguliwe.

Ukipuuza Utakataliwa GETI la Mbinguni.

9. IKIWA ULIWAHI TUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME/ KIKE.

Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.

10. MAUAJI.

Ikiwa uliwahi kuua bila kukusudia ,ukahukumiwa JELA ukatoka, ikiwa uliua Kwa Siri na hukubainika, ikiwa ulishiriki kuua, usijidanganye kuwa unaweza kutubu sirini, HATIA Ili ikuondoke uwe na Amani, Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.

HITIMISHO.

Dhambi nilizotaja hapo juu, ni baadhi tu ya dhambi ambazo huwezi tubu pekeako, zimetajwa sawasawa na Ruhusa ya Roho mtakatifu Kwa mtumishi wake sawasawa na ufunuo wake apendavyo.

Mungu awabariki.

Source: Nabii Justine Ibrahim.

Amen.
Lete ushahidi/uthibitishi japo mdogo tu wa kimaandiko. Vinginevyo, haya yatahesabika kuwa ni mawazo binafsi tu ya mtu ambayo watu watakuwa na uhiyari wa kuyatii au kutotii.
 
Mind game,vitu vya saikolojia tuu hivyo Wacha kutosha watu
 
Rubbish! Na wewe ni mpotoshaji mkubwa, utakatisha tamaa watu wasitubu, huwezi andika mambo haya yote bila evidence za Maandiko!

Peleka ujinga huko.
 
Kuwa makini na kinywa chako,

Ulipaswa Umuulize Mungu, Roho mtakatifu ikiwa haya niliyoandika ni Kweli au Si Kweli kabla ya kupinga.

Mungu akusamehe. Amen
 
Sote tuombe ila tujiulize yule mtu pale msalabani namna alivyofika kwa Mungu kwa neno moja tu la Ee Bwana unikumbuke kwenye ufalme wako.
Yule mtu pembeni msalabani alikuwa muuaji na alitubu hadharani na sio sirini, na tunaona Yesu akamsamehe.

Niliyoandika inaitwa INJILI YA UTAKATIFU.

INJILI hiyo Si Rahisi kuisikia Kwa false prophets.

Ubarikiwe.
 
Acha UPOTOSHAJI, sehemu pekee unatakiwa kupeleka shida zako ni kwa Mungu kupitia Yesu. Sasa wewe unavotaka kumuweka tena mtu third party (kama dalali) ili maombi yako yasikizwe. Na ofcourse dhambi zote zinasemehwa, isipokuwa dhambi ya kumkufuru Mungu.
Kwahio endapo una dhambi yoyote unaijutia na uko tayari kuiungama...piga magoti, jisogeze kwa Mungu na utubu dhambi hio nae atakusamehe.

Nioneshe sehemu kwenye Biblia walipoandika kuna dhambi unatakiwa umtumie mtumishi wa Mungu ili usamehewe.
 
Uache upumbavu, naweza kuwa na knowledge ya haya mambo kukuzidi, kenge...

Unajuaje nina huyo roho mtakatifu? Na unajuaje ananiongoza? Unajuaje level yangu?

Nyie ndo mnakuja kuwa matapeli wa kufungua Makanisa ya uongo, fala wewe.

Usipoleta uthibitisho wa andiko, unachoandika hakina uhalali, usinitishe pumbavu wewe.
Basi sawa.

Ubarikiwe. Amen
 
Na bado mtachanganyiwa sana
Yesu Kristo, Mungu mkuu, pia aliitwa kichaa aliyechanganyikiwa.

Napokea matusi yote, pia nakuombea upate neema ya kutubu kabla ya kufa.

Ikitokea umekufa bila kutubu, thread hii, itakuwa ushahidi siku ya HUKUMU.

Amen
 
Back
Top Bottom