GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu
2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC yao Kihistoria
3. Kauli za Kudanganya na zilizojaa Propaganda mbovu za Mhamasishaji Mkuu Haji Manara na Afisa Habari Ally Kamwe
4. Wachezaji wa Yanga SC Kuzoea Kubebwa katika NBC Premier League na Kukariri kuwa hata Kimataifa hali itakuwa ni hiyo hiyo
5. Uwezo mdogo wa Ufundishaji wa Kocha Nabi unaofichwa na Mafanikio ya Unbeaten Record ya Yanga SC inayoratibiwa vyema na Ujanja Ujanja wa Kununua Mechi au Kuhonga Wachezaji wa Timu Pinzani za Ligi Kuu ya Tanzania ya NBC
6. Kiburi cha Watu wa Yanga SC (hasa Viongozi) kuwa na Kiburi cha Kukataa Kujishusha na Kujifunza mengi kutoka kwa Simba SC ambao wameshakomaa Kimataifa kwa Mechi za Ugenini na Nyumbani
7. Yanga SC Kuwekeza zaidi katika Kutegemea Uchawi (Kuroga) badala ya Kuiandaa timu Kisayansi na Kimkakati zaidi
8. Wachezaji wa Yanga SC kutoandaliwa vyema Kisaikolojia hasa inapokuja Michuano ya Kimataifa.
9. Wana Yanga SC, Viongozi wa Yanga SC na Wachezaji wa Yanga SC Kulewa Sifa za Kinafiki na Uwongo ambazo mara kwa mara huwa wanapewa na Magazeti ya Michezo, Watangazaji wa Michezo wenye Uyanga Uyanga na Wachambuzi wa Michezo wa Redio ambao wana Uyanga Uyanga mwingi
10. Yanga SC kuwa na Uhusiano wa Kinafiki na Uongozi wa Juu wa TFF hivyo Wote kujikuta wanakuwa Wanafiki huku kila Mmoja akimcheka Mwenzake Kimoyomoyo pale akiharibu / akiharibikiwa
11. Ubishi, Unafiki na Dharau hasa hii ya Juzi ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akiwa Mkoani Mwanza mbele ya Wanachama wa Yanga SC kuwaita wana Yanga SC wa Kipato cha chini kuwa ni Wala Mihogo (akimaanisha ni Masikini) na kwamba hawana Msaada kwa Yanga SC na wala hawamtishi kama Rais
Mwisho kama Ushauri Yanga SC iachane upesi na Kocha Nabi kabla hata hawajaenda Tunisia kwa Mechi yao ya Marudiano ila Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asione Aibu Kuwaomba Radhi ( Msamaha ) aliowaita Wala Mihogo ( Masikini ) ambao ndiyo 90% ya Mashabiki wa Yanga SC.
Ila Kutolewa tayari Mmeshatolewa!!!!