Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

Wala mihogo kivip katamka injini mwenyewe
 
Mimi sichukii hoja zako ndugu. Kinachonichukiza ni matusi ya aibu unayoyatoa kwa mnaotofautiana hoja. Siku ukirekebisha hilo, hutapata upinzani unaouongelea hapa.
 
Wala mihogo kivip katamka injini mwenyewe
Huna Akili acha Kunipotezea muda sawa? Kama hata Tv na Redio zote zimerusha Hewani hiyo Clip Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) akiongea hivyo mbele ya Viongozi wa Matawi Mkoani Mwanza kabla ya Mechi yao dhidi ya Geita Gold FC Wewe hujui au hujajua? Hopeless kwahiyo unaniona GENTAMYCINE ni Muongo na Nimekurupuka tu Kuileta hii Taarifa / Habari?

Mnafiki mkubwa Wewe halafu Wewe si miongoni mwa wale Wapumbavu msionipenda kama malantu sasa inakuwaje Kutwa ( 24/7 ) tu huwa mnahangaika nami hapa Jamiiforums? Huwa nawaita au nawashobokeeni kama nyie mnavyoshoboka na kunishobokea?
 
Mimi sichukii hoja zako ndugu. Kinachonichukiza ni matusi ya aibu unayoyatoa kwa mnaotofautiana hoja. Siku ukirekebisha hilo, hutapata upinzani unaouongelea hapa.
Kwenda huko Mpuuzi na Mnafiki mkubwa Wewe. Hamnipendi halafu ( lakini ) Kutwa ( 24/7 ) tu mkiingia ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima msome Mada ( Threads ) zangu Kudadadeki zenu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
We utakua ni shabiki wa Makolo
 
We utakua ni shabiki wa Makolo
Ulibakia Juha ( Fool ) Wewe tu kutokujua hapa JamiiForums kuwa Mimi GENTAMYCINE ni Shabiki wa Simba SC na Mafia wa Michezo Michafu ya Soka la Bongo ( Tanzania )
 
Kwenda huko Mpuuzi na Mnafiki mkubwa Wewe. Hamnipendi halafu ( lakini ) Kutwa ( 24/7 ) tu mkiingia ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima msome Mada ( Threads ) zangu Kudadadeki zenu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Mada lazima tuzisome. Tutapongeza yale yaliyo mazuri na kukosoa yale yenye walakini. Sasa kama hupendi, acha kuandika.
 
Ulikuwa wapi kuandika kabla ya kufeli?
 
We mzee kama sio informer basi mvaa kaunda kabisa...HUWEZI KUWA UNAJUA MENGI NAMNA HII
 
Kwahiyo umeamua kutowaambia kuhusu mwiko wao kule nyuma?
 
Ulibakia Juha ( Fool ) Wewe tu kutokujua hapa JamiiForums kuwa Mimi GENTAMYCINE ni Shabiki wa Simba SC na Mafia wa Michezo Michafu ya Soka la Bongo ( Tanzania )
Mimi na wewe nani Juha, nyinyi South Africa mlivyowanga uwanjani na kuwasha moto mchana kweupe mpaka mkatozwa faini haulioni ila unaoma ya Yanga tu si ndio ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…