Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Vp tukimuua muuaji tuna dhambi?
Sawa lakin naangalia uzito wa usumbufu wakoNdiyo tena kubwa sana.
Imeandikwa; visasi na hukumu ni vya Bwana Mungu pekee yeye ndiye mwamuzi tumuachie yeye.
Swali langu ni; ni kweli kila linalotokea duniani ni mipango yake?
Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mioango ya Mungu kwa mwanadamu duniani.
Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya kujilikimbizia mali na hata kupoteza ushahidi.
Amri kumi zikienezwa Ulaya na dola ya Warumi, kabla ya hapo Wazungu waliuana sana. Waliona fahari kutundika mafuvu ya vichwa ukutani kama fahari kuonyesha idadi ya watu ulio wahi kuwaua.
Wauwaji hawana maisha marefu duniani, wale wanaoishi huishia kuishi maisha ya mateso. Kutoa mimba pia ni uuaji na humchukiza Mwenyezi Mungu.
Sawa lakin naangalia uzito wa usumbufu wako
Imeandikwa wapi? Lete aya.Mungu ndiye peke yake mwenye mamlaka ya kuua binadamu haturuhusiwi kuua
Mimi naona hapana!
Mengine ni mipango ya Wanadamu wenyewe!
Matharani dereva aendeshe gari mwendokasi akipata ajali tuseme mipango ya Mungu? Hapana nakataa.
Mtu aache kushika kanuni za kiafya ili kuepuka uchafu na magonjwa akiugua tuseme Eti mipango ya Mungu? Hapana!
Uache kufanya kazi ukikosa chakula useme mipango ya Mungu?
Mgonjwa asiende hospitali au asinywe dawa halafu ikitokea vinginevyo mseme mipango ya Mungu? Hapana
Vinginevyo uzembe , uvivu n.k tutasema mipango ya Mungu wakati Mungu hapendezwi nayo
Mungu hana hasira, hana furaha, hana Upendo na wala hana chuki. Hizi ni attitudes za binadamu, Mungu sio binadamu.Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani.
Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya kujilikimbizia mali na hata kupoteza ushahidi.
Amri kumi zikienezwa Ulaya na dola ya Warumi, kabla ya hapo Wazungu waliuana sana. Waliona fahari kutundika mafuvu ya vichwa ukutani kama fahari kuonyesha idadi ya watu ulio wahi kuwaua.
Wauwaji hawana maisha marefu duniani, wale wanaoishi huishia kuishi maisha ya mateso. Kutoa mimba pia ni uuaji na humchukiza Mwenyezi Mungu.
Haujajubu swaliMungu ametupa uwezo wa kufahamu mema na mabaya pia uwezo wa kuamua la kufanya. Ukifanya mabaya utahukumiwa kutokana na matendo yako na mema hali kadhalika.
Acha kusingizia zinaa wewee. Acha kuhusisha zinaa na dhambi wewee. Acha kabisa.Hata dhambi za uongo na zinaa pia. Uongo huua. Zinaa huua.
Dhambi si kitu chema
Kwa hiyo kimsingi yanayomtokea mwanadamu yako mikononi mwake mwenyewe, sio?
Ni SAwa na kisa cha lazaro na tajiri wametenganishwa na ukuta mrefu.Ben,Azory et al waliuawa na kupotezwa familia zao zisishuhudie makaburi yao.Ni ukatili uliopitiliza.
Wataficha wapi sura zao "wasiojulikana" wanaojulikana na Dhambi hii??
Neno mipango ya Mungu ni kumvika Muumba madhaifu yetuBaadhi !
Mengine Ndiyo huwa mipango/mapenzi ya Mungu.
Kweli, ogopeni sana hii dhambiKitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani.
Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya kujilikimbizia mali na hata kupoteza ushahidi.
Amri kumi zikienezwa Ulaya na dola ya Warumi, kabla ya hapo Wazungu waliuana sana. Waliona fahari kutundika mafuvu ya vichwa ukutani kama fahari kuonyesha idadi ya watu ulio wahi kuwaua.
Wauwaji hawana maisha marefu duniani, wale wanaoishi huishia kuishi maisha ya mateso. Kutoa mimba pia ni uuaji na humchukiza Mwenyezi Mungu.
Baadhi !
Mengine Ndiyo huwa mipango/mapenzi ya Mungu.
Mungu hana hasira, hana furaha, hana Upendo na wala hana chuki. Hizi ni attitudes za binadamu, Mungu sio binadamu.
Hicho kinachoitwa MUNGU ni hali ya kuwa (State of Being), haitendi chochote. (Hii mada ni ndefu na kwa sasa sina muda).
Chochote kinachotokea hapa Duniani kinasababishwa na binadamu au matokeo ya nature yenyewe namna inavyoji_organise na inavyoratibu matukio yenyewe, unachomfanyia X ndio hicho hicho utafanyiwa wewe, hata kama utafanyiwa na Y na siyo X lakini kitakufika tu kwa namna yeyote.
Karma is Real na haisababishwi na Individual yeyote, iko automatically.
Nature is Real, na inaji_organize yenyewe.
Mungu sio lijitu fulani kubwa lenye midevu ambalo liko hapo juu mbinguni kana kwamba linatuangalia sisi hapa chini na linasababishwa matukio, kwamba nani afanikiwe, nani asifanikiwe, nani ampe na nani asimpe. Hakuna upuuzi kama huo.
Kinachotokea Duniani ni jitihada.za binadamu na kudra ya Nature kwa namna inavyo_support au kuto_support hizo energy kwa wakati huo.