Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,095
- 937
fitina ni mbaya kuliko kuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatofautisha vipi?
Yale ambayo yako ndani ya uwezo wa mwanadamu ni mipango ya mwanadamu kwa yale ambayo yako juu ya uwezo wa mwanadamu huwa ni mipango ya Mungu.
Actually pale ambapo akili, nguvu, pesa, technically, n.k vinaposhindikana kuleta ufumbuzi ndipo uwezo wa Mungu hudhirika.
Matharani; majanga kama tufani, maswala ya uzazi, mitihani /majaribu mbalimbali ambapo kwa vigezo vya kibidamu unaona hakuna tatizo lakini kiuhalisia mambo hayaendi au pale pasipo kuwa na Sifa za kuwezekana jambo kwa akili za kazi binadamu au mazingira kukataa lakini kwa uwezo wa Mungu jambo linafanyika.
Tajiri jiwe anaomba maji kwa LazaroNi SAwa na kisa cha lazaro na tajiri wametenganishwa na ukuta mrefu.
Azori na ben ndio lazaro wa sasa peponi.
🤣🤣🤣🤣Acha kusingizia zinaa wewee. Acha kuhusisha zinaa na dhambi wewee. Acha kabisa.
Angalia yule muuaji aliezikwa kwenye banda la bati kule burige,damu ya mtu hukurudia wote waccm walioua watakufa kwa matesoKitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani.
Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya kujilikimbizia mali na hata kupoteza ushahidi.
Amri kumi zikienezwa Ulaya na dola ya Warumi, kabla ya hapo Wazungu waliuana sana. Waliona fahari kutundika mafuvu ya vichwa ukutani kama fahari kuonyesha idadi ya watu ulio wahi kuwaua.
Wauwaji hawana maisha marefu duniani, wale wanaoishi huishia kuishi maisha ya mateso. Kutoa mimba pia ni uuaji na humchukiza Mwenyezi Mungu.
wengi wanapukutika kama majani ya miti yaliyokaukaBen,Azory et al waliuawa na kupotezwa familia zao zisishuhudie makaburi yao.Ni ukatili uliopitiliza.
Wataficha wapi sura zao "wasiojulikana" wanaojulikana na Dhambi hii??
Wewe umepotoka vibaya sana tena sana.kuna siku nmefanya research katika vitabu vya dini nikagundua shetani hajawahi kuua mtu, ila mungu kashaua wengi sana mpaka wasio na hatia sababu ya makosa ya wengine!
ah! niko around mazee!