Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha mtu salama,Chadema watatafunana hadi mtu wa mwisho

Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha mtu salama,Chadema watatafunana hadi mtu wa mwisho

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Nikirejea kauli ya mwalimu kuhusu dhambi ya ubaguzi.

Ni suala la muda tu viongozi wa sasa watajikuta wako peke yao na pia sio kitu kimoja.

Wale waaliokuwa wanawaita wasaliti,wameamua kuondoka na sasa watajikuta wamekosa watu wa kuwatupia lawama.

Kwa vile dhambi ya ubaguzi ni kama dhambi ya kula nyama ya binadamu,wataanza kutafutana ili wapate mchawi mwingine na hatimae Lissu ni lazima atagombana na viongozi wenzake.

Nami naomba dhambi hiyo iwatafune kabla hawajapewa nchi maanna wakipewa nchi hawa,nchi itavunjika viipande vipande
 
Back
Top Bottom