Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

Umejieleza vizuri. Wewe jua tu kuna mwanzo wa vyote ila usipoteze mda wako kutafuta huo mwanzo. Tumia tu akili uliyopewa kupambana na hali yako. Unakumbuka wazungu walipotuachia Biblia ili sisi tuendelee kufunga macho kwa kuomba na wao kupora mali zetu?
 
Tell them
 
Mbona kila kabila linamjua Mungu kwa lugha yake msaada upi sasa
Logical non sequitur.

Kulingana na hoja nliyoweka hapo na ulichonijibu..
Hapo kuna uhusiano gani?

Kwamba kila kabila likiwa linaamini Mungu kwa kabila zao local ndo zinafanya imani hizo kuwa ni kweli?

Unaelewa kuwa hoja yangu ni kuziokoa jamii hizo ziondokane na dhana hiyo ilijojengwa kwa msingi wa ujinga zaidi (kutokuelewa mambo) haijalishi zinaamini katika lugha zao mama!?
 
Achana na Hawa wa mihemuko wafata mkumbo wa ulevi wa dini
 
Wenye akili timamu watakuelewa lakini wenye ufinyu wa maarifa watazidi kukuchukia, Kuna Mama mmoja hapa Mtaani Kila siku anaenda Kawe pale Tanganyika Packers lakini maisha anayoishi, Yule Jamaa wa Tanganyika Packers awe anawafundisha na stadi za maisha aisee 🤣🤣🤣🤣
Kuna sehemu nimepita nikasikia wanawake wanamsema mwenzao eti anatoa hela yote, akifika nje anaanza kuomba nauli, huu ni upuuzi, haya majambazi eti ya kiroho yapigwe marufuku
Wenye akili timamu watakuelewa lakini wenye ufinyu wa maarifa watazidi kukuchukia, Kuna Mama mmoja hapa Mtaani Kila siku anaenda Kawe pale Tanganyika Packers lakini maisha anayoishi, Yule Jamaa wa Tanganyika Packers awe anawafundisha na stadi za maisha aisee 🤣
 
Back
Top Bottom