Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

Umejieleza vizuri. Wewe jua tu kuna mwanzo wa vyote ila usipoteze mda wako kutafuta huo mwanzo. Tumia tu akili uliyopewa kupambana na hali yako. Unakumbuka wazungu walipotuachia Biblia ili sisi tuendelee kufunga macho kwa kuomba na wao kupora mali zetu?
 
Tell them
 
Mbona kila kabila linamjua Mungu kwa lugha yake msaada upi sasa
Logical non sequitur.

Kulingana na hoja nliyoweka hapo na ulichonijibu..
Hapo kuna uhusiano gani?

Kwamba kila kabila likiwa linaamini Mungu kwa kabila zao local ndo zinafanya imani hizo kuwa ni kweli?

Unaelewa kuwa hoja yangu ni kuziokoa jamii hizo ziondokane na dhana hiyo ilijojengwa kwa msingi wa ujinga zaidi (kutokuelewa mambo) haijalishi zinaamini katika lugha zao mama!?
 
Achana na Hawa wa mihemuko wafata mkumbo wa ulevi wa dini
 
Kuna sehemu nimepita nikasikia wanawake wanamsema mwenzao eti anatoa hela yote, akifika nje anaanza kuomba nauli, huu ni upuuzi, haya majambazi eti ya kiroho yapigwe marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…