KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Utajua mwenyewe!Mi nimekuonesha matumizi na maana ya KUCHOMOZA NA KUZAMA KWA JUA.Koran imesema chemchem ,
Hii picha ni chemchem
Chemchem ni nini ?Utajua mwenyewe!Mi nimekuonesha matumizi na maana ya KUCHOMOZA NA KUZAMA KWA JUA.
Hizo picha zote zionesha JUA likizama kwenye MLIMA,MAJI,MITI N.K.
Kifupi ni kwamba,kama matumizi haya ya SUNRISE NA SUNSET yanalihusu JUA,basi jua hakuna namna yoyote JUA litaacha kuchomoza na kuzama nyuma ya vitu mbalimbali.
Hahhahaha [emoji12][emoji12] imeisha hiyoChemchem ni nini ?
Nakuuliza chemchem ni nini wewe unajibu kitu kingine kabisaHahhahaha [emoji12][emoji12] imeisha hiyo
Yoshua 15:19
Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya juu, na chemchemi za maji ya chini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahha huoni jibu hapo au au hujui chemichemi ni maji yanayotoka ArdhiniNakuuliza chemchem ni nini wewe unajibu kitu kingine kabisa
Ndio kule ulishindwa kusema chemchem ni nini ukakimbia Uzi
Sasa ndio umejibuHahahahha huoni jibu hapo au au hujui chemichemi ni maji yanayotoka Ardhini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahhaha mito haina maji yanayotoka Ardhini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndio umejibu
Maji yanayotoka ardhi, mnapo tuwekea mapicha ya bahari na ziwa ndio Aya ya Koran ilivyosema?
Uzi ulioukimbia
Unabahati kuku naona wamekutetea wamenipiga ban baada ya kuonaSasa ndio umejibu
Maji yanayotoka ardhi, mnapo tuwekea mapicha ya bahari na ziwa ndio Aya ya Koran ilivyosema?
Uzi ulioukimbia
Chemchem ndio springHahahahhaha mito haina maji yanayotoka Ardhini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukigoma kujibu maswali ya wazi unapigwa za uso ,Unabahati kuku naona wamekutetea wamenipiga ban baada ya kuona
Tena mod walivyo waoga hata taarifa wameogopa kunipa nawaumbuaView attachment 2530378
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahhaha mito haina maji yanayotoka Ardhini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ayoub
Je! Umeziingia chemchemi za bahari, Au umetembea mahali pa siri pa vilindi?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha kwani mito na bahari haina chemichemiChemchem ndio spring
Sasa ona Muhammad alivyo patia kuelezea Koran , nyie mnaweka mapicha ya bahari
I was sitting behind the Messenger of Allah (ο·Ί) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah) Sunan Abi Dawud 4002
Hahahhaha naona mmeamua kuniripoti kua nawaumbua kuku nyieUkigoma kujibu maswali ya wazi unapigwa za uso ,
π€£ππ€£π€£π€£πHahahahaha kwani mito na bahari haina chemichemi
Ayoub34:16[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
ππ€£ππ€£ HamiyaUnajichekesha
Nani akuripotiHahahhaha naona mmeamua kuniripoti kua nawaumbua kuku nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe hamnazo[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Hamiya
Wote baada ya mambo kuona yanawaelemeaNani akuripoti
Unaulizwa swali lipo wazi unajibu ujinga
Tumeshamaliza siku nyingi , wewe bakia kurusha mateKweli wewe hamnazo
Unajua basi hata hiyo maana ya hot spring kuku wewe waone wana jiolojia hawa
a spring with water temperatures above its surroundings
The related term "warm spring" is defined as a spring with water temperature less than a hot spring by many sources, although Pentecost et al.
Wewe huna uwezo wowote katika nyanja zote