Huyo mdogo wako anachukulia maisha kiutani utani sababu ndugu mpo wa kumsaidia ila mkimchinjia baharini atatia akili!Haileti picha nzuri kupewa mtaji then uutumie ndivyo sivyo, tena unakuta anayekupa hata amekopa benki.
So ukibeba make sure unabebeka, lengo ni kupunguza umasikini level ya familia
Mi nashangaa basi kupewa riba? Naisikitikia hiyo pesa kwa kiwa haitarudi wala riba.Basi msimshangae mtoa mada kuwapa hela kwa riba
Very sure, tatizo wenzako kuona vile unaona wewe ndiyo shida, Wenzetu Wahindi wanaweza Sana.Tusipobadirika na kuanza kuwa na family businesses then tutaishia kuona tu group of companies za wahindi, waarabu, wachina na nchi zingine then watoto wenu wawe tu waajiriwa kila leo
Ni sahihi, pengine itakuwa nafasi yake kujifunzaHuyo mdogo wako anachukulia maisha kiutani utani sababu ndugu mpo wa kumsaidia ila mkimchinjia baharini atatia akili!
Akipoteza na hela mara 3 mfululizo mkatieni umeme achapwe na ukata ndio ataelewa somo!
Jitahidi kuwapa Mawazo (elimu) kwanza kabla ya kuwapa mtaji. Ikibidi mpe ndoano akavue samaki kuliko kumleta Samaki aliyevuliwa tayari.Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna sheria inayolazimisha ndugu kusaidiwa hata Baba/Mama sio lazima) kuwasaidia lakini unajiuliza ni faida kiasi gani unapata kuona ndugu zako wakihangaika mitaani bila mafanikio wakati wewe ukiwa na nafuu?
Binafsi nimejaribu mara kadhaa kuwainua ndugu zangu (Tumbo moja) bila mafanikio mwisho wa siku najikuta napoteza mitaji tu. Natolea mfano, mwaka fulani nilimpa brother angu mtaji wa kumwezesha afanye biashara fulani iliyonigharimu kiasi. Bahati mbaya biashara akaiua/akala mtaji. Next time, nikampa mtaji mdogo wangu afanye biashara fulani aliyoitaka. Bahati mbaya naye akapoteza mtaji bila kufanikiwa. Simu za brother zikawa nyingi kuomba assistance huku akinishtakia kwa Wazee. Baada ya mivutano kidogo nikampa mtaji mwingine. Shida inakuja kwenye suala la kuikuza biashara na kuiendeleza, brother anafail, Kwahiyo baada ya muda mtaji huu pia ukafa.
Sasa nimempa mtaji wa mwisho wa biashara, akipoteza na huu Potelea mbali. Sitajali lawama za Walimwengu, hata Mungu anaona nilivyojitolea.
Swali, Je, kuna haja ya tunapowapa mitaji ndugu zetu(tuandikishiane) na tuanze kutoza riba ili kuongeza uwajibikaji (accountability)?? Jambo hili litakuwa na athari zozote kwa ustawi na mahusiano ya familia?

Nitakupa mfano. Nikitumia masaa kumi kusukuma zege ambalo haliwezi kuangushwa na greda utaniitaje?Kivipi Mkuu?
Yaani logic hapo ni kuinuana kwa lengo la kupunguza umasikini kwa level ya Familia
Kutoa msaada pasipo kuangalia vigezo na masharti nalo ni tatizo mkuu .Kuna ndugu wengine ukimpiga tafu mtaji anaenda fanyia starehe pombe..au mwingine ananunua furniture zA gharama anashop mlimani city hata mchele au maharage ananunua mlimani city ..hawa tunawaweka kundi lipi?
Katika kila familia mara nying hutokea mtu mmoja kwa ajili ya kubreak "a chain of poverty" ya ukoo/familia, huwa ni mpango wa Mungu kabisa.Tatizo kubwa ya familia hizo huwa ndugu/jamaa wengi wa mhusika huwa na uelewa mdogo na elimu hamna! Unaptia hali sawa na yangu, mimi wa mwisho kwetu, mabro wote chenga ukiwapa hela wanatumia then lawama zinabaki palepale! Kwa vile bro mmoja alinipambania hadi nikafika nilipo, siwapi pesa kamwe, natunza wazazi na kusomesha madogo wote wa home mpaka pale ambapo mtu atashindwa mwenyew ila sio kukosa ada/mahitaji! Tunza wazazi, somesha ndugu zako. Ukiendelea kuwapa pesa utapoteza! Wape pale kwenye tatzoBinafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna sheria inayolazimisha ndugu kusaidiwa hata Baba/Mama sio lazima) kuwasaidia lakini unajiuliza ni faida kiasi gani unapata kuona ndugu zako wakihangaika mitaani bila mafanikio wakati wewe ukiwa na nafuu?
Binafsi nimejaribu mara kadhaa kuwainua ndugu zangu (Tumbo moja) bila mafanikio mwisho wa siku najikuta napoteza mitaji tu. Natolea mfano, mwaka fulani nilimpa brother angu mtaji wa kumwezesha afanye biashara fulani iliyonigharimu kiasi. Bahati mbaya biashara akaiua/akala mtaji. Next time, nikampa mtaji mdogo wangu afanye biashara fulani aliyoitaka. Bahati mbaya naye akapoteza mtaji bila kufanikiwa. Simu za brother zikawa nyingi kuomba assistance huku akinishtakia kwa Wazee. Baada ya mivutano kidogo nikampa mtaji mwingine. Shida inakuja kwenye suala la kuikuza biashara na kuiendeleza, brother anafail, Kwahiyo baada ya muda mtaji huu pia ukafa.
Sasa nimempa mtaji wa mwisho wa biashara, akipoteza na huu Potelea mbali. Sitajali lawama za Walimwengu, hata Mungu anaona nilivyojitolea.
Swali, Je, kuna haja ya tunapowapa mitaji ndugu zetu(tuandikishiane) na tuanze kutoza riba ili kuongeza uwajibikaji (accountability)?? Jambo hili litakuwa na athari zozote kwa ustawi na mahusiano ya familia?
Nimeeleze misaada ile inayotolewa ilimradi imetolewa kwa muhusika pasipo kufanya deep analysis juu ya chanzo cha mkwamo wake mkuu wangu .Tukubaliane kitu kimoja
Kuna watu hapo juu wametoa michango ya kwamba unamsaidia mtu kwa lengo la kupata ukuu au Umungu mtu, na lengo sio afanikiwe bali aendelee kuwa shidani, hili napingana nalo.
Nadhani ni rahisi zaidi kumnyima mtu msaada kuliko kumpa ule wa kusudio la yeye asifanikiwe.
Tunachopaswa kufahamu familia zetu ni kama darasa lenye wanafunzi wengi, kila mnoja atakua na akili yake na uwezo wake, utapata characters aina tofauti tofauti.
Wote hawatakua na uwezo sawa wala tabia.
Tukubali tukatae kuna watu hawasaidiki, kuna watu utawasaidia watajipinda kwelikweli kuhakikisha msaada ule unamfikisha sehemu fulani nzuri.
Hawa wasiosaidika sio kwamba hawafahamu, bali hawajali, uoga wa kwanza mtu unatakiwa kuwa nao ni kuogopa utegemezi, ukiona mpaka leo hii huoni tabu kutembeza bakuli na utu uzima wako jitafakari mara mbilimbili.
I see! Kumbe ni mitihani ya wengi hiliKatika kila familia mara nying hutokea mtu mmoja kwa ajili ya kubreak "a chain of poverty" ya ukoo/familia. Tatizo kubwa ya familia hizo huwa ndugu/jamaa wengi wa mhusika huwa na uelewa mdogo na elimu hamna! Unaptia hali sawa na yangu, mimi wa mwisho kwetu, mabro wote chenga ukiwapa hela wanatumia then lawama zinabaki palepale! Kwa vile bro mmoja alinipambania hadi nikafika nilipo, siwapi pesa kamwe, natunza wazazi na kusomesha madogo wote wa home mpaka pale ambapo mtu atashindwa mwenyew ila sio kukosa ada/mahitaji! Tunza wazazi, somesha ndugu zako. Ukiendelea kuwapa pesa utaoteza! Wape pale kwenye tatzo
Kwa upande wangu ndoano niliyodhani nawapa ilikuwa Mtaji, najua ingekuwa wako serious enough tungekuwa tumeshashinda adui umasikini kwa sehemu.Jitahidi kuwapa Mawazo (elimu) kwanza kabla ya kuwapa mtaji. Ikibidi mpe ndoano akavue samaki kuliko kumleta Samaki aliyevuliwa tayari.
Hakuna kitu naogopa kama kufika Uzee na kuendelea kutegemea kudra za watoto au ndugu kupata chakula cha kila siku kuishi.Hawa wasiosaidika sio kwamba hawafahamu, bali hawajali, uoga wa kwanza mtu unatakiwa kuwa nao ni kuogopa utegemezi, ukiona mpaka leo hii huoni tabu kutembeza bakuli na utu uzima wako jitafakari mara mbilimbili.
Nadhani na huku Bongo wenzetu Wachagga hupigana tafu sana sijui kama miaka ya hivi karibuni wameacha.Mada nzuli sn wenzetu warabu na waindi wanafanya sn hii njia na inawatoa sn nzuli zaidi hasa hasa kwa warabu mtu anapewa mtaji na biashara idia yani anapewa cash pesa na conection ya biashara aise wakikutana ndugu kma familia wote madone