Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
You are right, watoto wa kike wapate haki ya elimu sawa na wa kiume lakini tunahitaji kuelimisha vizazi vyetu juu ya majukumu ya asili ya kila jinsia ili kuondoa huu mzigo anaobaki nao mwanamke na kuondoa hii mentality ya kumsomesha mtoto wa kike ili aje a replace majukumu ya mwanaume
mtoto wa kike ni sawa kureplace majukumu ya mume,as i said conditions walizokuwa nazo our ancestors zimebadilika,leo mwanamke ana fight kama mwanaume,sielewi kwa nini kama kipato kimekua kwa mwanamke asimsaidie mumewe kwenye baadhi ya mambo...