Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
So bila ndoa what life will be like?!Kama hawatapata mtu wa kuwaoa means ndoa hazitakuwepo. Watoto wa kiume wapambane wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So bila ndoa what life will be like?!Kama hawatapata mtu wa kuwaoa means ndoa hazitakuwepo. Watoto wa kiume wapambane wenyewe
Kama ndoa ni swala binafsi mbona jamii nzima hadi serikali huwa inahusika?!Umuhimu wa ndoa upo kwa mtu binafsi. Cycle ni kuzaliwa, kuishi na kufa...suala la ndoa mmelilazimisha tu hapo. Na hii ni dhana ya muafrika sio ya binadamu wote
Inaelekea hata concept ya mwanaume kumuongoza mwanamke kwako ni jambo ambalo haujalielewa vema!Wewe kwa mfano utakubali mwanao wa kike aongozwe na mwanaume badala ya kujiongoza mwenyewe? Hapa naongelea kwa mtizamo wa kujenga mtoto wa kike ujasiri na kujiamini.
Big up.... Umesawazisha vema kabisa.....Ni kweli hili suala ukiwa na watoto js teach them common sense
suala la haki makes sense kwa watu wanaopitia magumu kweli na kunyimwa haki
Humu mijini smtimes it doesnt make sense mana mazingira si yale ya zamani...na hakuna kitu binti anakosa.,
Wewe ndo hujaelewa nilichoandika Soma vizuri.Inaelekea hata concept ya mwanaume kumuongoza mwanamke kwako ni jambo ambalo haujalielewa vema!
Kukubali nature ndo hivyo kunapeleka kuonekana mwanamke au mtoto wa kike anakandamizwa na kunyimwa fursa Kama mtoto wa kiume. Kukubali nature inaonekana ni tatizo, na kuikataa nature inaonekana inakuwa tatizo pia.Umeshasema nature! Binadamu hatupaswi kuingilia mifumo ya asili!
Wanawake walipaswa kupewa tu upendo na huruma vya kutosha. Vingine vinavyoendelea n kumuinua shetani!
Subirini mpambaniwe80% ya shughuli za haki sawa mwanaume ndie amefanya zifanikiwe.......
Kama ukibisha nitakuuliza swali moja, kama wanawake ndio walipigania then mbona hatukuona resistance ya mwanaume......?!
Ni kweli lakini hii dhana ya kumiwnua mtoto wa kike imeeleweka vibaya na jamii, matokeo yake inaleta ubaguzi wa kijinsia kwa watoto, nguvu kubwa inaelekezwa kwa watoto wa kike na hawa wa kiume wanasahaulika, in future tutarudi kuwa na watoto wa kike ambao wako katika level tofauti na wa kiume, na kutakua na gap kubwa kati ya watoto wankiume na wa kike, meaning watoto wa kiume watakua nyuma na inaweza leta madhara makubwa kwa vizazi viavyoMkuu kuwasomesha watoto wakike sio sababu watoto wa kiume waachwe nyuma, umeielewa vibaya, kusomesha watoto wa kike ilikuja baada ya jamii kuonekana haimpi fursa mtoto wa kike kuchukua education opportunities sawa na boys ,na hivyo kuwa na gap between boys and girls,mpaka leo kuna GAP KUBWA TU ya courses kama STEM courses,yaani ukisoma mwanamke course fulani wanakushangaa.. ni mindset kama hizi kubadilisha ni ngumu sana...ukisomesha mwanamke umeisomesha jamii ndio motto wa JF 😉 😉 🤣
Ndoa ziwepo haina shida lkn kuiweka Kama hitaji au sijui niite nini la mwanadamu sio sahihi. Ndoa inatukuzwa sana africa. Na tunapozungumzia binadamu sio mwafrika peke yake.So bila ndoa what life will be like?!
Lazima serikali ihusike maana sheria zinahusika.Kama ndoa ni swala binafsi mbona jamii nzima hadi serikali huwa inahusika?!
Mada inaeleweka vizuri kabisa mkuu ..sisi Kama wazazi hakuna hata mmoja anayetaka mtoto wake apate life baya ..ki uhalisia ni kuna namna ya kwenda na upepo unavyokwenda. Maana Kama ni mtoto wako wa kike basi lazima utataka apate kile anachopata mtoto wako wa kiume. Kuhusu upotoshaji ni kweli upo na ni lazima upingwe vikali kabisa. Maana wapotoshaji wanakuwa na agenda zao binafsi tu kunakuwa hakuna solution na ndio maana mtoto wa kiume anaonekana ametengwa kaachwa mwenyewe. Hivyo basi la kufanya ni moja tu either turudi katika nature au tuendelee na hii mipango ya kuwainua wanawake huku tukitegemea wanaume wao watabaki katika Hali yao ya kiume Kama ilivyokuwa awali.Ukiielewa mada vizuri utaelewa kinachozungumzwa, hapa tunazungumzia upotoshwaji unaofanywa na hawa wanaharakati, kumjengea mtoto ujasiri na uwezo ni jukumu la jamii nzima bila kujali wa kike au wa kiume, jamii kwa sasa imeweka focus kubwa kwa mtoto wa kike na huyu wa kiume amesahaulika, vipaumbele vingi kuanzia kwenye elimu mpaka ajira vimewekwa kwa mtoto wa kike matokeo yake watoto wa kiume wamebaki nyuma, kiini cha hii mada ni kuhakikisha watoto wote wanapata fursa sawa bila kujali jinsia
Mmmmmmhmn me nakushauri ucheki tena na vyanzo vyako sababu last time i checked ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke katika safari ya maisha.Ndoa ziwepo haina shida lkn kuiweka Kama hitaji au sijui niite nini la mwanadamu sio sahihi. Ndoa inatukuzwa sana africa. Na tunapozungumzia binadamu sio mwafrika peke yake.
You said well, ndio maana nasema hata kama sio ndoa bado tunahitaji wanaume wanaojitambua, huwezi kuwa na boyfriend asiejielewa au ambae ni irresponsible, hata kama unataka kuwa single mother ni lazima unahitaji baba wa mtoto wako awe anajitambua na awe responsible, kwa maana hii tunahitaji kizazi cha wanaume ambao hawasahauliki na wenye kupewa fursa sawa za elimu ana ajira na haki sawa kama watoto wa kike ili huko mbeleni watoto wetu wa kike wasije kuishi maisha ya majuto, unless dunia ingekua na jinsia moja, as long tupo jinsia mbili, tunategemeana kwa mengi na ni lazima tuweke misingi mizuri ya vizazi vijavyo bila kubagua jinsia mojaMmmmmmhmn me nakushauri ucheki tena na vyanzo vyako sababu last time i checked ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke katika safari ya maisha.
So unataka kunambia wewe maisha yako bila mwanaume yanakwenda?! By bila mwanaume na maanisha no side dude, no boyfriend, no someone's husband, no male at all... For everything, is it possible kama ukiongea seriously jokes aside?!
Ni kweli lakini hii dhana ya kumiwnua mtoto wa kike imeeleweka vibaya na jamii, matokeo yake inaleta ubaguzi wa kijinsia kwa watoto, nguvu kubwa inaelekezwa kwa watoto wa kike na hawa wa kiume wanasahaulika, in future tutarudi kuwa na watoto wa kike ambao wako katika level tofauti na wa kiume, na kutakua na gap kubwa kati ya watoto wankiume na wa kike, meaning watoto wa kiume watakua nyuma na inaweza leta madhara makubwa kwa vizazi viavyo
Hapa namaanisha kuwe na usawa wa fusra na elimu kwa watoto wote bila kubagua jinsia, jamii kwa kiasi kikubwa imashatambua umuhimu wa mtoto wa kike kusoma kwa hiyo kwa sasa ni kuweka nguvu kubwa kuhakikisha watoto wote wanapata haki sawa ndani ya jamii na Taifa bila kubagua jinsia zo ili kuepusha jinsia moja kusahaulika
Maisha bila mwanaume au mwanamke wa ndoa yanaenda na wapo wanaoishi hiyo.Mmmmmmhmn me nakushauri ucheki tena na vyanzo vyako sababu last time i checked ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke katika safari ya maisha.
So unataka kunambia wewe maisha yako bila mwanaume yanakwenda?! By bila mwanaume na maanisha no side dude, no boyfriend, no someone's husband, no male at all... For everything, is it possible kama ukiongea seriously jokes aside?!
point yako ni kwamba ndoa siyo basic needs ?Maisha bila mwanaume au mwanamke wa ndoa yanaenda na wapo wanaoishi hiyo.
Vitu vilivyopo kwenye ndoa hata ambae hana ndoa anapata tena kiurahisi. Ila kuzaliwa na kufa kupo na huwezi kuepuka. Ndoa inaepukika that's y watu wanaachana but kufa tutakufa tu.
Basi kwenye hiyo list yenu ya kuzaliwa, ndoa na kufa tuongeze na ajira.
Hatuwezi kuona impact yake sasa, may be in the next 20 years given that jamii imeweka effort kubwa kwa mtoto wa kike, halafu ukizingatia population difference kati ya mtoto wa kike na mtoto wa kiume, obvious we will face this soon or later, itafika mahali nafasi kubwa zote zitakua zimeshikiliwa na wanawake, sekta za muhimu zote zitakua na wanawake, na kwa mtazamo wa kijinsia mtoto wa kiume atajiona inferior kuwa na mahusiano na mwanamke ambae ji superior sana kwake, jiulize jamii itakua na vizazi vya namna gani, huyu mtoto wa kiume hataweza kusimama mbele ya mtoto wa kike kwa sababu wanaume by nature wameumbwa kama watawala, mimi najaribu kuwaza kwa mtazamo huo na ninaona the worse is yet to happenMnhhhh kulikua na gap,meaning things were not at equilbrium, wacha tu close the gap.
si kweli kuwa kumsomesha mtoto wa kike then mtoto wa kiume atabaki nyuma na kwamba tutakuwa na wasichana wasomi wengi kushinda boys, hii haitatokea,yes haitatokea.. since boys siku zote ndio wanakua supported kuchukua hizo education opportunities, na hawana distractions kama wasichana, mara mimba,mara kuolewa n.k unless kutokee policy or change kwenye system ndio tutaona downward fall ya boys kusoma as compared to girls. Namaanishaa we will always fall behind,japokua tunajitahidi ku close the gap but things will never be equal.