Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

mtoto wa kike ni sawa kureplace majukumu ya mume,as i said conditions walizokuwa nazo our ancestors zimebadilika,leo mwanamke ana fight kama mwanaume,sielewi kwa nini kama kipato kimekua kwa mwanamke asimsaidie mumewe kwenye baadhi ya mambo...
 
Watoto wetu wa kiume wamekuwa wavivu, hawajiongezi, hawajui majukumu yao, wengi wanapenda kulelewa, hawafanyi vizuri kwenye mitihani yao mashuleni n.k. lakini je NANI WA KULAUMIWA?

well said
 
Siku hizi feminist wanajifanya kujua kila kitu huku wakisahau kila mtu ana majukumu yake ya kiasili nje na bla bla za kufundishwa shuleni

Yote na yote mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume
huu ndio ukweli, huwzi shindana na aisiye breed kila mwezi
 
Watoto wetu wa kiume wamekuwa wavivu, hawajiongezi, hawajui majukumu yao, wengi wanapenda kulelewa, hawafanyi vizuri kwenye mitihani yao mashuleni n.k. lakini je NANI WA KULAUMIWA?

JINSI ULIVYO LEO NI KUTOKANA NA MALEZI NA MAKUZI YAKO YA JANA. HIVYO WATOTO WA KIUME WA SASA WAMEANDALIWA KUWA HIVYO NA WAZAZI WAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…