Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Nikola Tesla was also obsessed with number 3 this number should have far more advanced mystic meanings.
 
Hongera kwa kufuatilia na kuyajua mambo mengi.

Nina swali dogo kwako, umeokoka? Je kama hujaokoka unawaza nini juu ya maisha baada ya kufa?

not but pray.
Kuokoka ni dhana pana... Tunaaswa kuishi katika toba na maombi kwakuwa tumezingwa na majaribu na hatuna karama ya utukufu wa kiMungu

Jr[emoji769]
 
MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KIKUBWA SANA KWENYE UGANGA ASILI,WA JADI,WA MARUHANI,WA MAJINI NA AINA ZINGINE.KWAMBA UGANGA NI KITU KIKUBWA NA KIZITO KINACHOFANYWA KIRAHISI SANA NA PASIPO UELEWA HALISI.WATU HAWAUJUI UGANGA.
 
Back
Top Bottom