Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

NAMBA 3 INA MAMBO MENGI SANA KAMA HIVI PIA.
  1. Wagonjwa wengi hupewa dawa yenye dozi ya kutwa mara tatu.
  2. Kila mtu anatakiwa kujitambulisha kwa majina matatu.
  3. Waamini fulani wanaamini kuwa Mungu ana nafsi tatu.
  4. Wakati wa mateso ya Yesu, alianguka mara tatu.
  5. Yesu alisulubiwa na watu wengine wawili na hiyo kufanya idadi ya waliosulubiwa kuwa ni watatu.
  6. Imani hii inaendelea kwamba alifufuka siku ya tatu ilivyoandikwa.
  7. Jiko imara lina mawe au maegemeo matatu; angalia hata jiko la mchina na la gesi.
  8. Kabla ya kuanza riadha inahesabiwa moja mpaka tatu.
  9. Katika mashindano wanaong'ara ni mshindi wa kwanza, wapili na watatu.
  10. Waamini wengine kabla ya ibada lazima wajisafishe mara tatu.
  11. Mambo makuu kwa kila kiumbe hai ni kula, kuvaa na kulala
  12. Binadamu huzaliwa ,kuoa au kuolewa na kufa

In physics, the most equilibrium state of an object occurs when three forces are concurrent and also this is how we perceive our natural world (3D).
 
Huwa nasoma nyuzi zako na kuzitafakari vyema sana,
Nataka nikuulize swali flani, Hivi we Mshana Jr :,
-mchawi
-mganga wa kienyeji
-muhenga
-jini
-mchungaji/shehe
-alien
-msukule
Ni hayo tu
Nimejaribu kumfatilia [HASHTAG]#mshana j.r[/HASHTAG] nimegundua yeye ni hivyo vyote ulivyo taja ila bado naendelea na uchunguzi
 
Nimejaribu kumfatilia [HASHTAG]#mshana j.r[/HASHTAG] nimegundua yeye ni hivyo vyote ulivyo taja ila bado naendelea na uchunguzi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuzaliwa
kuishi
na kufa

ni mambo ya namba 3katika kuzaliwa ukixaliwa mwezi 3 or 6 kuna uhusiano wa namba hapo katika roho? na je ukifa kati ya miezi hiyo kuna uashira wowote utakuwa wa Allah au motoni?
 
kuzaliwa
kuishi
na kufa

ni mambo ya namba 3katika kuzaliwa ukixaliwa mwezi 3 or 6 kuna uhusiano wa namba hapo katika roho? na je ukifa kati ya miezi hiyo kuna uashira wowote utakuwa wa Allah au motoni?
Inategemea na kiasili chako
 
Hongera kwa kufuatilia na kuyajua mambo mengi.

Nina swali dogo kwako, umeokoka? Je kama hujaokoka unawaza nini juu ya maisha baada ya kufa?

not but pray.
 
Back
Top Bottom