Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu wewe inabidi ufungue uzi wako tuje kufanya ligi
Jina lako linaanza na B sio,sio hii username,nasema lile real name.

Hao wenye majina hayo huwa wana tabia za ujinga ujinga.

Eti umesoma UDOM,watu tuna files zako tunakuona tu.

Ulisema CV utaleta hapa,iko wapi?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mkuu nipo nafatilia mtanange hapa.....

Hii ya parallel connection ya ammeter imeniacha hoi...

Huyu kama ni mwalimu wa VETA basi tumekwisha.
Hahahahahaha kweli Ni POOR BRAIN, Japo alianza kwa kujimwambafaiπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜…πŸ˜…
 
Jina lako linaanza na B sio,sio hii username,nasema lile real name.

Hao wenye majina hayo huwa wana tabia za ujinga ujinga.

Eti umesoma UDOM,watu tuna files zako tunakuona tu.

Ulisema CV utaleta hapa,iko wapi?
Nimesoma Udom Jina langu linaanza na J mkuu
 
Dadeq huu uandishi mbovuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
1. Kinacho determining power ya magnets inategemea ni tempo au perm fadanua swali vzr kanuni

Nakuja wakuunakua natingwa n kazi
 
Kwanza Kabisa Wataalamu wa Postmortem Mara Nyingi Ni ma Pathologists au Hata Hawa Ma Forensic Scientists..
Kwa bahati mbaya Sana Kipindi nafanya Specialisation sikuchukua Hayo masomo..

ila kwakuwa Forensic na Pathology as well as Anatomy Ni somo ambalo Kila Daktari Haijalishi level yake ni lazima Kulijibu Nitajitahisi Kwakuwa Najua Basics zake..

1.Unafahamu vipi matumizi ya umeme katika kutekeleza mauaji ya kimkakati yale yasio ya bahati mbaya...
Hili swali Limekaa Kisheria Sheria zaidi Kuliko Kidaktari yaani Watu wa Criminology wana Majibu Yake Mengi sana Ola sidhani kama Daktari yoyote anaruhusiwa Kujibu hata kama ni Mahakamani akitoa Ushahidi Kwamba anahisi Huyu Mtu kauliwa Kimakusudi 🀣🀣
2.Ni vitu gani katika mwili wa mhanga vitakuonesha mhusika kauwawa au kafa kwa umeme.
Japo Case za electrocution, Huwa sio nyepesi Maana zinahitaji Knowledge kubwa Ila nitajaribu..

Kwanza Huwa Tunaaingia au Kuexamine Entry point na Exit point..sasa Hapa Pia Kuna Uangalifu maan usipokuwa mwangalifu unaweza Ukachanganya kati ya Thermal Burns na Electrical burns.

Sasa Nifatilize..
Autopse mara Nyingi kwa Postmortem huwa Inaangaliwa mechanism ya Dealth..

Ila kwa Electrocution mara Nyingi sana Mechanism ys Dealth Huwa ni kupitia Mambo matatu kama sio mawili Jambo la Kwanza disturbance of heart rhythm ambayo Inaweza Kusababisha Moyo kusimama Ghafla Jambo la Pili brain function na Jambo la Tatu Extensive Burns na Hii ndo Thermal Injury niliyosema mwanzo kabisa hapo..

Sasa Kwenye Moyo Huwa inakuwaje?

Electrical current Inavopita kwenye Mwili through Body Fluid at al.. Huwa ina disrupt heart's normal electrical activity, ambayo sasa Hupelekea kwenye fatal arrhythmias kama Unazifahamu inaweza kuwa ni ventricular fibrillation au asystole kabisa..

Sasa ili kugundua Kama Ni Umeme Kweli Lazima Ufanye Histology Investigation..
Kwahyo utachukua Autospy kuangalia Contraction Band Necrosis (CBN), Ischemic Changes na Vitu vingine vingi..
Japo Ni mtihani sana Kukuta Baadhi ya Vitu..
Nafikiri Kuna Viti vingi ambavyo naweza Kuviongea Ila vyote ni mattet ya Histology examination

3.Ni kiasi gani cha umeme kitaalamu mnaamini kinaweza sababisha mauti.
Even small as 100 au 200 mA inaweza kusababisha Kifo
4.Ni rahisi au vigumu kiasi gani kufanya ukaguzi huu na kutoa report.
NI ngumu sana Ukitaka Kufanya Kwa Sheria zake zote..
Maana kupata A hallmark of electrocution related myocardial injury sio Jambo la Kitoto maana Mara Nyingi sana Moyo huwa unakuja Hauna Visible abnormality so Ni kazi ya Ziada na Ndo maana Wengi huitimisha Kuwa Ni Electrocution baada ya Kuona Entry Point na Exit point..
5.Ulisha wahi kutana na tukio kama hili au jukumu kama hili na kuandikia report,nini uliona na nini kilikufanya uandike aina hiyo ya report.
Yes, Ila Zamani sana Niliwahi Kufanya ila ndo hiyo ya Kuangalia Entry point na Exit unaandika Report na Ukishapata Uthitibitiso kuwa Ni Imeme kutokaka na Thermal burns basi unaandika Report but ukifata Misingi ni Report ngumu sana
6.Richa ya mazingira ya tukio hua mna mtu yoyote mtaalamu wa umeme mnamualika katika kukamilisha hizo report na kuziwakilisha kwa mamlaka husika
Mtalaamu Wa Umeme Aje Kufanya nini?
vielelezo vya report ya postmortem hua sio siri,mfano mtu kujinyonga au kukabwa...mapafu yataonekana yalikosa hewa...

Mtu kupigwa na kitu kizito itonekana kuvuja kwa damu katika ubongo au mtikisiko wa ubongo usio wa kawaida...

Nawakilisha...
inategemea na Mamlaka inayoomba Postmortem Sio kila mtu anaweza Ku order Kuna mamlaka za Kufanya hivyo
 
Chukua spoku ya baiskel chomeka kwa plag ya ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…