Kwanza Kabisa Wataalamu wa Postmortem Mara Nyingi Ni ma Pathologists au Hata Hawa Ma Forensic Scientists..
Kwa bahati mbaya Sana Kipindi nafanya Specialisation sikuchukua Hayo masomo..
ila kwakuwa Forensic na Pathology as well as Anatomy Ni somo ambalo Kila Daktari Haijalishi level yake ni lazima Kulijibu Nitajitahisi Kwakuwa Najua Basics zake..
Hili swali Limekaa Kisheria Sheria zaidi Kuliko Kidaktari yaani Watu wa Criminology wana Majibu Yake Mengi sana Ola sidhani kama Daktari yoyote anaruhusiwa Kujibu hata kama ni Mahakamani akitoa Ushahidi Kwamba anahisi Huyu Mtu kauliwa Kimakusudi 🤣🤣