Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Hakuna sayansi ila ni dhana tu broo...hapo kinachotokea ni function of centra nervous system....which draw away a victim's body unconsciously from danger.....sasa hapo kwasababu hatujasoma mifumo ya fahamu ya mwili inayorespond the external stimulii.......tunasema tu hivi Nimerushwa na umeme.
KWELI WEWE UNAELEWEKA NA SOMO LAKO LA UMEME SHUKRANI
Shukrani!
 
Nimefuatilia huu mtanange kimya kimya tokea asubuhi.....
Kuna mengi ya kujifunza hasa kutoka kwa positive comments.....

Lakini kikubwa, naomba tuheshimu fani za watu......

Mkuu Poor Brain tutakuheshimu kua wewe ni mwalimu (ticha) wa physics lakini kwenye umeme, nakushauri waache wataalamu watuelimishe........
 
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Mkuu mpaka sasa ujasema umesoma advance au laaah..

Oky one kali ya phy namaanisha nilipata A sio form four mpaka advance...

Take this one ya physics...
Huo umeme unaosemea hapa nimecheza nao na mpaka sasa nipo nauchezea hapa sijui unanielewa mkuu sibahatishi mimi.

Huyu ni mimi my short cv hiyo sawa mkuu View attachment 3185948
Kumbe ni manager kabisa halafu kunipa pande mwanao niishi hapa town unaona jau au sio??
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€naona umeme unastimulate umeme wa mwilini ubongo ukichanganyikiwa mtu anakimbiaaa...!! sasa waokufaga sijui ubongo nao huwa unaliwa kichwa mapema.
Unaambiwa poor brain na umeme ni kama ishirini na twenty
 
Back
Top Bottom