DR Mambo Jambo
Daktari nimefurahi kukuona katika mjadala huu wa umeme,na umejaribu kueleza kitu...
Mimi ningetamani kujua zaidi kutoka kwako...kwakua umevutiwa na umeme utakua kidogo unainterest nao...
na naamini kuna kitu kiatalamu na kisayansi hadharani naweza pata vitu muhimu kutoka kwako....
Nina maswali ya "postmortem" hasa ya vifo vinavyo sababishwa na umeme sijui kama una utaalamu wa "postmortem" au la...
Kama huna nisitishe maswali yangu **** unayo nidadavulie....
1.Unafahamu vipi matumizi ya umeme katika kutekeleza mauaji ya kimkakati yale yasio ya bahati mbaya...
2.Ni vitu gani katika mwili wa mhanga vitakuonesha mhusika kauwawa au kafa kwa umeme.
3.Ni kiasi gani cha umeme kitaalamu mnaamini kinaweza sababisha mauti.
4.Ni rahisi au vigumu kiasi gani kufanya ukaguzi huu na kutoa report.
5.Ulisha wahi kutana na tukio kama hili au jukumu kama hili na kuandikia report,nini uliona na nini kilikufanya uandike aina hiyo ya report.
6.Richa ya mazingira ya tukio hua mna mtu yoyote mtaalamu wa umeme mnamualika katika kukamilisha hizo report na kuziwakilisha kwa mamlaka husika
vielelezo vya report ya postmortem hua sio siri,mfano mtu kujinyonga au kukabwa...mapafu yataonekana yalikosa hewa...
Mtu kupigwa na kitu kizito itonekana kuvuja kwa damu katika ubongo au mtikisiko wa ubongo usio wa kawaida...
Nawakilisha...