fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Kwahiyo mtu akitembea peku anapigwa shotiHuna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..