Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Sio mtoto wa 2000 mimi mkuu.
Kuwa na heshima kama huna hoja ya kubishana na mimi tulia.

Wenzako wanabishana kwa cv hapa ukute hata ujue mambo ya parallel na series connection ya ammeter..
So cool down
Mtaalamu wa umeme unaongea series na parallel ya ammeter?
HEM TUELEZE,AMMETER LINI IKAUNGWA PARALLEL CONNECTION?

LINI?
 
Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...

Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics

Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Heeh...! Hii imekujaje ghafla?. Kwa hiyo wewe tunavaa viatu wakati tunatembea kila mara kokote ili tusipigwe short ya umeme?. Uko serious au unatania?. Ukute mtu ndio uko serious hivyo, unamaanisha
 
Ninaamini mpaka sasa kuna mmoja ameonesha kujimwambafai ktk masuala ya umeme, kwa sasa anacollect data sehemu mbalimbali ili aje atuletee CV uchwara saa 9.
 
Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...

Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics

Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Mkuu kwani ni vita? Mbona umekuja na mihemko kama kuna ugomvi, Hata Sisi wa drs la saba tuliokaririshwa mwili wa panzi tunaujua pia umeme kwa kiasi fulani, hakuna haja ya mihemko ni kueleweshana tu.
 
Ninaamini mpaka sasa kuna mmoja ameonesha kujimwambafai ktk masuala ya umeme, kwa sasa anacollect data sehemu mbalimbali ili aje atulevee CV uchwara saa 9.
Mkuu naona unafuatilia mtanange kimya kimya!
 
Kuna vitu kama vipo nje ya uwezo wako wa ubongo kung'amua ukweli huwa mnasema ni chai ila kwasisi tuliosoma mambo ya ufanyaji kazi mwili na mambo ya umeme tunamkubalia alichokisema mleta mada. Sijui huko madarasani mlikuwa mnaishia kumung'unya ubuyu na kula vishata vya mwalimu wa kiswahili tu au vipi. Vitu vidogo kama hivi pia mnasema chai, sasa ukielezewa mambo ya QUANTUM THEORY AND THE UNIVERSE si ndo hata thread yenyewe hautaimaliza😂😂
 
Sio mtoto wa 2000 mimi mkuu.
Kuwa na heshima kama huna hoja ya kubishana na mimi tulia.

Wenzako wanabishana kwa cv hapa ukute hata ujue mambo ya parallel na series connection ya ammeter..
So cool down
Wewe kweli unaoneka unasoma form 4 umefundishwa practical huko ya parallel and series connection basi mbio mbio kuja huku kusumbua watu

Wenzio wapo na electro optic na photonic we bado unahangaika na parallel connection ya ammeter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio mtoto wa 2000 mimi mkuu.
Kuwa na heshima kama huna hoja ya kubishana na mimi tulia.

Wenzako wanabishana kwa cv hapa ukute hata ujue mambo ya parallel na series connection ya ammeter..
So cool down
 
Tulia nishakukalisha kwa hoja madhubuti

Na saa tisa nakuja
KWANZA KABISA NIKUKUMBUSHE HAYA MACHACHE:
1. HUJAWAHI KUSOMA UDOM.
2. UMESOMA VETA CHANG'OMBE.

HIVYO HADI HAPA UMESEMA UONGO MWINGI KULE MWANZONI UKISEMA UMESOMA UMEME KWENYE ELECTROMAGNETISM,GENERAL PHYSICS,GENERAL ELECTRONICS,WAKATI HATA HIZO GENERAL PHYSICS,GENERAL ELECTRONICS MODULES HAZIPO UDOM WALA PHYSICS IN EDUCATION UDOM HAKUNA HII KOZI.

ENDELEA KUSUBIRI UTHIBITISHO ZAIDI WA HAYO.

NAKUSUBIRI SAA TISA URUDI.
 
Sijaelewa vizuri hapa .

Nilimpoteza my cousin mwaka 2011 alipanda mti ambao juu ya huo mti kulikuwa na 'UMEME' (waya zinapita) alioigwa shoti Kali Sana na kusambaratishwa vibaya Sana.
Kilichotokea hapo ni kuwa yeye alikuwa ni electric conductor kwasababu kwenye mwili wa binadamu pia kuna umeme ila mdogo sana kuuwezesha mwili kufanya kazi kutuma na kurudisha taarifa toka kwenye ubongo kwenda na kurudi kwenye viungo. So hizo nyaya zilikuwa zinapitisha umeme mkubwa kuliko kiwango cha maji kilichopo kwenye mwili wake. Mti nao pia hupitisha umeme ndiomana akapigwa shot na kukaushwa maji na mwisho kupasuliwa due to high concentration of electricity in his body.
 
😅😅😅😅 mkuu nipo nafatilia mtanange hapa.....

Hii ya parallel connection ya ammeter imeniacha hoi...

Huyu kama ni mwalimu wa VETA basi tumekwisha.
Jamaa hajui lolote,anahitaji kujifunza,ila anataka kujiona na kuaminisha watu ana maarifa yote.

Eti anasema alipata one kali sana ya physics form four?

Nilipoona tu hilo nikajua huyu ni kihiyo,anataka tuone anajua kumbe kichwani hana kitu.

Nimeshangaa sana.

Mimi nasubiri aje tu,details zake nimeanza kuziachia polepole hapo juu.
 
Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...

Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics

Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Mkuu kwanini vifaa vya Umeme mfano TV, Radio na Fridge kwanini ni vyepesi kuungua pale shoti inapo tokea au Umeme ukiwa Mwingi tofauti Computer?
 
Back
Top Bottom