The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Jamaa ameniudhi sana.Chatgpt sio reliable source of information. Ai huwa sometimes zinapita kitu kinaitwa AIhallucination ambacho kina create false or relation information but si correct
Nenda tovuti ya udom kajihakikishie , UROM hawana bachelor of education yenye miaka minne.
Na hii ni confirmed had kwneye mfumo wao wa application na matokeo
So hujawahi kusoma na hujui nini unaongelea
Muongo muongo tu.
Hata hoja aliyokuwa anabisha hadi kufika hapa alikosea.
Huyu ni wale vihiyo.