Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Oky nimesema general physics hii ni somo ambalo nimesoma pale udom kama part tuu..PHYSICS IN EDUCATION mara GENERAL PHYSICS,HIZI NI KOZI GANI?
TUELEZE MTAALAMU WA UMEME ALIYESOMA UMEME MIAKA MIWILI HALAFU ANASEMA AMEBOBEA.
Sem ya kwanza tulisoma astronomy sijui ka unaipata.
Sem ya pili tukasoma electronics general
Mwaka wa tatu na wa nne hapa tulikua tunasoma phy in general ndani yake tumesoma umeme
Sio kusoma na practice tumefanya unaelewa hata nikisema issue za meterbrige.. bado sijakuleta kwenye series na parallel connection za voltmeter na ammeter..
Mkuu sio kila mtu hapa jukwaani wa kumchukulia poa kuna wengine mkigusa mambo yetu huwa atukwepeshi