The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
UMEONA KIINGEREZA CHAKE LAKINIš¤£Jf katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMEONA KIINGEREZA CHAKE LAKINIš¤£Jf katika ubora wake
Ujasema umesoma advance au laa nataka nikuulize kitu hapa sio unazngukaDamn man, hiyo ndio inakufanya ujue umeme?
Hauko deep man, watu wameenda EE engineering kutoka reputated university for 4 fuckin years asomea umeme
Ww unatishia phy in education? Get serious man
Huna hoja ya kubishana na mimi..Wewe elimu yako ina shida.
Watu unaoishi nao wanapata tabu sana.
Suala alilosema Transistor halikuhitaji kuuliza mtu ana one kali ya Physics,eti umesoma umeme miaka miwili,huo ni udhaifu mkubwa kiakili.
Mtu mwenye akili haitaji kuuthibitishia umma kuwa ana akili,ila hawa wajinga wasiojua mambo au wale waliokariri hutaka sana kuonekana wanajua.
Nimesoma dodma umeme na umeme sumaku.. electricity in magnetism au electromagnetismKUMBE PHYSICS IN EDUCATION?
KWAHIYO HUU UMEME ULIOSOMA MIAKA MIWILI NI CHUO GANI HIKI?
Jamaa ni wale watu wa kuungaunga.Damn man, hiyo ndio inakufanya ujue umeme?
Hauko deep man, watu wameenda EE engineering kutoka reputated university for 4 fuckin years asomea umeme
Ww unatishia phy in education? Get serious man
Kuna watu wanataka maisha yawe magumuJf katika ubora wake
Huna lolote,kichwani hakuna kitu.Huna hoja ya kubishana na mimi..
Degree...Jamaa ni wale watu wa kuungaunga.
Physics in education.
Aje,aseme amesoma umeme chuo gani miaka miwili?
Je,hii ni cheti,diploma,degree,masters au elimu ipi?
Sina chochote saa tisa nipo hapa nataka nikufundishe kuwa wewe na ku install hizo submeter ila hauna kituHuna lolote,kichwani hakuna kitu.
ELECTROMAGNETISM!Nimesoma dodma umeme na umeme sumaku.. electricity in magnetism au electromagnetism
Udom... Sio dodoma take this..ELECTROMAGNETISM!
DODOMA SIO?
Wewe ni mjinga uliyechangamks
WAPI?Degree...
Nimesoma miaka minne kama general physics
Nikasoma electricity semester mbili za mwisho kama short course
mtu bae hajapita advanced anasomeaje EE for 4 years? Au hujaelewa ujumbe uliopita?Ujasema umesoma advance au laa nataka nikuulize kitu hapa sio unaznguka
Nimesoma physics in education...WAPI?
CHUO GANI?
ACHA UPOTOSHAJI WEWE?
GENERAL PHYSICS NDIO NINI?
GENERAL PHYSICS INASOMWA CHUO GANI DODOMA KWA MIAKA MINNE?
HIVI MKUU UNAJUA UNAPOTOSHA SANA WATU.
HAJUI LOLOTE HUYO MJINGA.Nifundishe umeme mkuu
EE ndio nini kwanza..mtu bae hajapita advanced anasomeaje EE for 4 years? Au hujaelewa ujumbe uliopita?
KWAHIYO UMESOMA GENERAL PHYSICS UDOM SIO?Nimesoma physics in education...
General physics ni part ndogo sana katika kozi yangu na nimesoma sasa unataka kubishana na ndio au..
Nimesoma dodoma udom miaka minne na umeme nimesoma
Mkuu nimeruhusu aulize chochote kileHAJUI LOLOTE HUYO MJINGA.
Mkuu nadhalilisha vipi mbona unataka mambo yawe mengi..KWAHIYO UMESOMA GENERAL PHYSICS UDOM SIO?
KWA MIAKA MINNE?
HIVI KWANINI UMEADHALILISHA UDOM KIASI HIKI?
Dude man kama hata kirefu cha EE hufahamu, i wonder umesoma chuo gani?EE ndio nini kwanza..
Acha kutumia vifupisho hapa unapotosha umma