Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Ushaanza jichanganya saa moja hii unasema saa 11..Hongera mkuu.
Mimi ndio naamka,saa 11 alfajiri hii.
Sasa kama mambo madogo haya ushaanza jikanyaga utaweza simama na mimi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaanza jichanganya saa moja hii unasema saa 11..Hongera mkuu.
Mimi ndio naamka,saa 11 alfajiri hii.
Kumbe kuna one Kali ya physics na hamsemiHuna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Ili nibishane na mtu anasema amesoma umeme miaka miwili?Wewe tulia sa tisa uwepo hapa
UNAONA AKILI ZAKO,KWENYE HOJA ZILIZOPITA NIMESHAONYESHA SIPO TANZANIA KWA TOFAUTI YA MASAA MAWILI,AU NAE UNABISHA TU HUKUONA?Ushaanza jichanganya saa moja hii unasema saa 11..
Sasa kama mambo madogo haya ushaanza jikanyaga utaweza simama na mimi wewe
Kama ujasoma tuliaKumbe kuna one Kali ya physics na hamsemi
Mkuu hakuna sehemu umesema hvo..UNAONA AKILI ZAKO,KWENYE HOJA ZILIZOPITA NIMESHAONYESHA SIPO TANZANIA KWA TOFAUTI YA MASAA MAWILI,AU NAE UNABISHA TU HUKUONA?
Umeme unaingilia mifumo ya umeme wa mwili,misuli, muscles, zina kuwa paralyzed , zinashindwa kupokea taarifa kutoka kwenye ubongo,kujinasua, kama vile ukikanyaga mwiba au moto, unavyonyanyua mguu haraka,ndivyo hivyo misuli inabidi ifanye kutoa mkono kwenye nyaya za umeme, lakini kwa vile, umeme wa mwili umeishaingiliwa, misuli inashindwa kufanya kazi, ni si kweli, umeme utakuachia, pale maji yameisha mwilini,View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...
Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza
1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.
kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...
DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..
Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..
Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana
Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...
So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...
Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah
USIKU MWEMA.
Transiator.
Yass kitaalamu tunaita reflex arcUmeme unaingilia mifumo ya umeme wa mwili,misuli, muscles, zina kuwa paralyzed , zinashindwa kupokea taarifa kutoka kwenye ubongo,kujinasua, kama vile ukikanyaga mwiba au moto, unavyonyanyua mguu haraka,ndivyo hivyo misuli inabidi ifanye kutoa mkono kwenye nyaya za umeme, lakini kwa vile, umeme wa mwili umeishaingiliwa, misuli inashindwa kufanya kazi, ni si kweli, umeme utakuachia, pale maji yameisha mwilini,
HAKUNA SEHEMU SIO?Mkuu hakuna sehemu umesema hvo..
Ndio maana nasema wewe mpaka sasa kuna kitu unahofia sasa nasemaje saa tisa nipo hapa....
Hujajibu swali, chuo umesoma pyhsics?Weee una one ya. Ngap advanced??
Umesoma physics..?
Yaani hii hoja dhaifu sana.Weee una one ya. Ngap advanced??
Umesoma physics..?
Hayo matembezi yasiambatane naradiHahaa nadhani inatakiwa iwe hivii.....Ndo maana unashauriwa uvae viatu vyenye soli pana wakati unahudumia vifaa vya umeme...
Kwenye matembezi hata peku tembea tu...hahahaha
Nimesoma ndio... Phy in educationHujajibu swali, chuo umesoma pyhsics?
Saa tisa nipo hapaYaani hii hoja dhaifu sana.
Uliza Einstein ana one ya ngapi ana alifanya nini kwenye sayansi!
Wewe kufunga submeters ndio umeona jambo la maana sana eeh?
Sikia,niko chimbo hizo submeters designs ni projects za watoto huku.
Wewe unajua kufunga na kutumia submeters wengine tunafanya assembling ya hizo submeters factories.
Nifundishe umeme mkuuNimeandika CV ili ujue who is talking....
Kingine usitanie mtu usiyemjua sometimes is you can get harmful
Karibu mkuuNifundishe umeme mkuu
Damn man, hiyo ndio inakufanya ujue umeme?Nimesoma ndio... Phy in education
Wewe elimu yako ina shida.Saa tisa nipo hapa
Jf katika ubora wakeNimeandika CV ili ujue who is talking....
Kingine usitanie mtu usiyemjua sometimes is you can get harmful
KUMBE PHYSICS IN EDUCATION?Nimesoma ndio... Phy in education