Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Nimesoma physics in education...
General physics ni part ndogo sana katika kozi yangu na nimesoma sasa unataka kubishana na ndio au..

Nimesoma dodoma udom miaka minne na umeme nimesoma
Udom kuna kozi inaitwa physics in education?

kwa miaka minne?

semester mbili za mwisho wanasoma ELECTROMAGNETISM?

halafu kusoma ELECTROMAGNETISM ndio kusoma umeme?

kuna sehemu hapo umeshindwa kujua EE ni nini ,na unasema ni upotoshaji, je wao waliojiita IEEE unawajua na je ni upotoshaji pia?
 
Nimesoma physics in education...
General physics ni part ndogo sana katika kozi yangu na nimesoma sasa unataka kubishana na ndio au..

Nimesoma dodoma udom miaka minne na umeme nimesoma
UDOM GENERAL PHYSICS MIAKA MINNE?

PHYSICS IN EDUCATION?

UMEME KWENYE ELECTROMAGNETISM?

WEWE NI MTU MUONGO SANA.
 
Udom kuna kozi inaitwa physics in education?

kwa miaka minne?

semester mbili za mwisho wanasoma ELECTROMAGNETISM?

halafu kusoma ELECTROMAGNETISM ndio kusoma umeme?

kuna sehemu hapo umeshindwa kujua EE ni nini ,na unasema ni upotoshaji, je wao waliojiita IEEE unawajua na je ni upotoshaji pia?
Nimekwambia hv mkuu huo umeme nimesoma na hapa nilipo.nipp sehemu ambayo na apply umeme kila siku..

Sijapitoaha mtu ila wabongo mnapokutana na mtu aliyewazidi kitu huwa mnamshambulia sana shame upon you all
 
UDOM GENERAL PHYSICS MIAKA MINNE?

PHYSICS IN EDUCATION?

UMEME KWENYE ELECTROMAGNETISM?

WEWE NI MTU MUONGO SANA.
Naujua umeme zaidi ya unavozania sijui kama unaelewa hilo mkuu...

Nimebobea na hapa najua nachoongea sasa sijui unataka uthibitisho upi wewe mkuu
 
Dude man kama hata kirefu cha EE hufahamu, i wonder umesoma chuo gani?
Tena education

Kukusaidia ni short term of Electrical Engineering
Huna hoja sasa kwanini ukuandika kwa urefu ili watu wajue hapa...
Mkuu naomba nikuulize kitu tena ni kipimo kidogo tuu..
 
Nimekwambia hv mkuu huo umeme nimesoma na hapa nilipo.nipp sehemu ambayo na apply umeme kila siku..

Sijapitoaha mtu ila wabongo mnapokutana na mtu aliyewazidi kitu huwa mnamshambulia sana shame upon you all
Wewe umenizidi nini?

Kusoma UDOM au?

KOZI YA PHYSICS IN EDUCATION?

KAMA NDIO UMENIZIDI HAYA WEWE NI MJINGA.
 
Nimesema nimesoma udom miaka minne physics in education
Kwanza hakuna bachelor of education yenye 4 years UDOM, na ulichomea last i check hapo UDOM ni 3 years
Uless unadanganya au hujawahi kusoma
 
Attachments

  • IMG_2277.jpeg
    IMG_2277.jpeg
    78 KB · Views: 4
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...

Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Hii dhana ni sawa na tukisema jua linapanda ikifika saa 6 litakuwa juu au
Chombo kinapokuwa kwenye mwendo tunazungumzia objects za nje kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom