Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Boss hasira zako ziko jirani sana aisee.......yani from no where uje umejaa kiasi hichi....

Basi nisamehe mkuu...mimi hua sijihusishi na mabishano au ugomvi wa hivi......

Nisamehe boss....wewe upo sahihi kwa kila kitu...
Mi mtu anapoingilia fani yangu huwa namaindi na sipendi kupotosha watu...
Nishamaliz
 
Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...

Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics

Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
1)😁 HZ nini nini ?na
2)nini mantiki yake mfano 50 hz au 60hz?
3)Je kwanini transform haifanyi kazi na umeme wa DC mpaka uwe AC?
4) Je oscillations ina mantiki gani kwenye transformer?
 
Kwa msaada wa Chatgpt

Mtu anaporushwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme ni kwa sababu ya mchanganyiko wa mambo mawili: misuli ya hiari na hiari na nguvu ya umeme.

• Misuli ya hiari: Umeme unapopita mwilini, husababisha misuli yote, ikiwemo misuli ya hiari (ambayo tunadhibiti) na misuli isiyo ya hiari (ambayo hatudhibiti), kupata msukumo mkali wa ghafla. Msukumo huu husababisha misuli mikubwa ya mwili kupunguka kwa nguvu na kwa wakati mmoja, na kusababisha mwili kurushwa. Ni kama vile misuli yote inafanya kazi kwa wakati mmoja bila kudhibitiwa.

• Nguvu ya umeme: Nguvu ya umeme yenyewe inaweza kusababisha mwili kurushwa. Kama vile sumaku inavyovuta chuma, umeme unaweza kusababisha mwili "kurushwa" mbali na chanzo cha umeme. Hata hivyo, athari hii ni ndogo ikilinganishwa na athari ya misuli kupunguka.

Kwa kifupi, kurushwa si lengo la umeme bali ni athari ya misuli kupunguka kwa nguvu na kwa wakati mmoja kutokana na msukumo wa umeme. Ni muhimu kukumbuka kuwa kupigwa na shoti ya umeme ni hatari sana na kunaweza kusababisha madhara makubwa, hata kifo.

Neno "shoti" na "shock" vya Kiingereza (na tafsiri zake katika lugha zingine) mara nyingi hutumika kwa kubadilishana, lakini kuna tofauti ndogo ya maana:

• Shoti (Short circuit): Hii inarejelea kosa la umeme ambapo kuna njia fupi ya umeme kati ya waya mbili zenye volti tofauti. Hii husababisha mkondo mkubwa wa umeme kupita katika njia hiyo fupi, mara nyingi kusababisha joto kali, moto, au uharibifu wa vifaa vya umeme. Shoti yenyewe si tukio la mtu kupigwa na umeme, bali ni chanzo kinachoweza kusababisha tukio hilo.

• Shock (Mshtuko wa umeme): Hii inarejelea athari ambayo mtu anapata anapopigwa na umeme. Hii inaweza kutokea kutokana na shoti, lakini pia inaweza kutokea kutokana na kugusa waya ulio na volti, au chanzo kingine cha umeme. Shock inaweza kuwa nyepesi (kutoka kwa hisia ya kuwasha) hadi kali (kusababisha kupoteza fahamu, kupooza, au hata kifo).

Kwa kifupi: Shoti ni tatizo la umeme, wakati shock ni athari ya mtu kupigwa na umeme. Shoti inaweza kusababisha shock, lakini shock inaweza kutokea bila shoti.

Umeme unaweza kuua mtu kwa sababu kadhaa, zote zinazohusiana na athari zake kwenye mfumo wa umeme wa mwili. Hapa kuna baadhi:

• Fibrillation ya moyo: Hii ndio sababu kuu ya vifo kutokana na mshtuko wa umeme. Umeme unapoingia mwili, unaweza kuingilia utendaji wa kawaida wa moyo, na kusababisha misuli ya moyo kuzunguka kwa njia isiyo na utaratibu (fibrillation). Hii huzuia moyo kusukuma damu kwa ufanisi, na kusababisha kifo haraka.

• Kuchoma: Umeme unaweza kusababisha kuchoma kali ndani na nje ya mwili. Joto linalozalishwa na umeme linaweza kuharibu tishu, misuli na viungo. Kuchoma huku kunaweza kuwa hatari sana, na kusababisha matatizo ya muda mrefu.

• Uharibifu wa mfumo wa neva: Umeme unaweza kuharibu mfumo wa neva, na kusababisha matatizo mbalimbali, ikiwemo kupooza, kifafa, na uharibifu wa ubongo.

• Kutokwa na damu: Umeme unaweza kusababisha kutokwa na damu ndani, hasa katika ubongo au viungo vingine.

• Mshtuko: Mshtuko unaweza kusababisha kuanguka, majeraha, na kupumua kwa shida.

Ukali wa athari hutegemea mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

• Nguvu ya umeme: Nguvu ya juu ya umeme husababisha madhara makubwa zaidi.

• Njia ya umeme: Umeme unaopita kupitia moyo au ubongo ni hatari zaidi kuliko ule unaopita kupitia sehemu nyingine za mwili.

• Muda wa mfiduo: Muda mrefu wa mfiduo wa umeme husababisha madhara makubwa zaidi.

• Unyevu wa mwili: Mwili wenye unyevunyevu huongoza umeme vizuri zaidi, na kuongeza hatari ya madhara makubwa.

Kwa kifupi, umeme huua kwa kuingilia utendaji wa kawaida wa viungo muhimu vya mwili, hasa moyo, na kusababisha uharibifu mkubwa wa tishu. Ni muhimu sana kuchukua tahadhari ili kuepuka mshtuko wa umeme.

© Chatgpt
 
View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.

Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??

Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...

Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza

1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.

kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...

DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.

2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...

Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...

Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..

Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..

Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana

Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...

So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...

Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah

USIKU MWEMA.

Transiator.
chai
 
Dhana ya kurushwa na umeme ni sahihi ....umeme unaweza kukunasa kabisa au kukurusha sababu nyingine umeziandika ila umeshindwa kuzielewa umesema mwili wa binadamu una umeme ni kweli na umesema unaendeshwa na umeme hiyo ni kweli pia hivyo misuli ya mwanadamu inapokea komandi ya umeme kufanya kazi ... sasa hapo ndipo kwenye jibu la kurushwa ...mwili una misuli inayo itwa mota kazi ya hiyo misuli ni kufanya motion hivyo umeme unapo ingia unastua hiyo misuli kwa ghafla hapo ndipo kurushwa utokea ...yaani mstuko wa misuli unaofanywa na nguvu ya umeme....pia umeme una nasa siyo kurusha tu ..pia umeme unatetemesha...pia umeme ununguza ...

Kuna aina mbili za kurushwa na umeme moja
1)ni umeme usiokuwa katika mlipuko yaani big spark...hapa umeme unacho fanya ni kurusha kwa kutumia misuli yako mwenyewe.
2)umeme katika spark hapa ni kama radi ...unakuwa na nguvu (FORCE) kama bomu hapa unaweza kurusha hata mti au kuukata au kuupasua kabisa sembuse mtu ...umeme unaokuwa katika hii hatua ya mlipuko unakuwa kama bomu unakuwa na nguvu ya kukirusha kitu chochote au kukipasua au kukikata ...hivyo elimu uliyo toa siyo sahihi sana..elimu sahihi ni hii hapa DR Mambo Jambo
 
Sawa boss...siwezi kukubishia....
Harafu hii post ya kabla ya tarehe za pilau...😀

Anyways ngoja nikusaidie.....

*Umeme haukurushi umeme una weza fanya vitu viwili vikubwa

1.Kukushikilia sababu unakua umepoozesha neva zako za fahamu hivyo huwezi jinasua...na utaachiwa tu pale maji yako mwilini yakikauka...hivyo matokeo baada ya kuachiwa unaweza ukaonekana umeungua au umekua mweusi(umekauka)..hapo kupona hua nadra

2.Umeme ukaingilia mfumo wako wa fahamu na wewe ukaweza kujinasua...sababu tu Haujawa kipitisho kizuri,au umeme ulio kuingia ulikua ule unaovuja,yaani unao zagaa hivyo hauna chanzo cha mwendelezo.

Ikitokea hivyo mara kadhaa unaweza athiri fahamu zako hivyo wakati wa kujiokoa ukahisi umerushwa.

Umeme hauna uwezo wa kukurusha ila tu kuufanya ubongo wako kutoa tahadhari ya kujiokoa,na wakati unatekeleza hilo kwa nguvu zako mwenyewe kujitoa pale utahisi umerushwa...hapa ni wewe kupitia mfumo wako wa fahamu umelitekeleza hilo tendo la kuruka.

Na utaweza kulitimiza hilo tu kama kwa bahati nzuri hujawa kipitisho kizuri au umeme ulikua ni ule wa kuvuja hauna mwendelezo....
Umekosea wewe itakuwa umesoma veta au udsm 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...

Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics

Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
JAMAA ALICHOKUREKEBISHA YUKO SAHIHI.
WEWE NDIO MBISHI WALA SIO YEYE.

YAANI UMEME WA KUSOMA FORM FOUR NA KUTOKA NA 1 KALI YA PHYSICS NDIO UNATAMBIA HAPA?

KWANZA KUNA 1 KALI YA PHYSICS?,IKOJE HII?,

ADVANCE KUNA UMEME GANI WA MAANA KWENYE PCM?.

WEWE UMESOMA UMEME,WENGINE NI MAFUNDI UMEME NA WAMETULIA TU,MWENZETU UMESOMA MIAKA MIWILI TU UNASUMBUA WATU!

KIUFUPI JAMAA YUKO SAHIHI,WEWE UKO WRONG COMPLETELY MTAALAM MWENYE 1 KALI YA PHYSICS.
 
Wewe pia nyamaza huna hoja ya kubishana na mimi ..
Hapa tunabishana kwa cv mkuu..

Una one ya ngapi advance...
Oky sorry umefika advance wewe..?
 
Wewe pia nyamaza huna hoja ya kubishana na mimi ..
Hapa tunabishana kwa cv mkuu..

Una one ya ngapi advance...
Oky sorry umefika advance wewe..?
eti CV unajua CV yangu?
unabishana kwa one ya ngapi?

Umesema una 1 kali ya Physics,sema ikoje?,sio kuanza na hoja zingine.

Watu dhaifu hutanguliza elimu zao za hovyo kujifanya wamesoma.

Sasa elimu ya physics form four na advance nae unatusumbua hapa?

Akili gani hizi.

Umesoma umeme miaka miwili sio,ndio unasema unajua sana na Una one kali ya Physics? ,

Unajisifia advance wewe kama wengine hatuijui hiyo advance?

Sikia wewe,nimesoma Physics miaka 9,nimefanya umeme kwa miaka 23,nimepita kila elimu ambayo wewe huna,ndani na nje ya nchi.

Wewe unakuja hapa kutaka kupotosha watu na miaka miwili ya umeme na kusoma Physics form four?

Ukitaka tufungue files zetu na tuache IDs fake tuone nani mkweli.

JAMAA ALIKUA SAHIHI KWA MAELEZO YAKE KUHUSU ULILOKUWA UNABISHA.
 
Back
Top Bottom