Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Huna hoja ya kuanza kubishana na mimi nishakupa cv yangu yangu hapo toa na wewe..eti CV unajua CV yangu?
unabishana kwa one ya ngapi?
Umesema una 1 kali ya Physics,sema ikoje?,sio kuanza na hoja zingine.
Watu dhaifu hutanguliza elimu zao za hovyo kujifanya wamesoma.
Sasa elimu ya physics form na advance nae unatusumbua hapa?
Akili gani hizi.
Umesoma umeme miaka miwili sio,ndio unasema unajua sana na Una one kali ya Physics? ,
Unajisifia advance wewe kama wengine hatuijui hiyo advance?
Sikia wewe,nimesoma Physics miaka 9,nimefanya umeme kwa miaka 23,nimepita kila elimu ambayo wewe huna,ndani na nje ya nchi.
Wewe unakuja hapa kutaka kupotosha watu na miaka miwili ya umeme na kusoma Physics form four?
Ukitaka tufungue files zetu na tuache IDs fake tuone nani mkweli.
JAMAA ALIKUA SAHIHI KWA MAELEZO YAKE KUHUSU ULILOKUWA UNABISHA.
Hvi kwanini munakua waongo waongo...
Wewe uwongo utakupeleka wapi et oooh umesoma umeme miaka 23 ..
Umesoma wapi..?
Skia wewe mi huwa mkali sana mtu anapogusa fani za watu aiwezekani mtu katoka alipotoka anapotosha watu alafu mimi niwe nacheka cheka tuu...
Wewe before that nadhani ujajua unaongea na nani na nina mchango gani katila maendeleo ya technology hapa tanzania...
Kingine kama huna hoja kaa kimya weka cv tutembee na cv hapa sio unakuja na hoja zako za ajabu ajabu.