Kwa hiyo kwa kuuunga mkono hoja yako, unajihisi anakupinga?! Wewe ni msomi kweli? Tz kuendelea, inatakiwa elimu ya kujitambua zaidi!Huna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Msomi huyo!Nimeandika CV ili ujue who is talking....
Kingine usitanie mtu usiyemjua sometimes is you can get harmful
Shukrani sana,nimepata kitu mtaalamu,barikiwa👍!Kwanza Kabisa Wataalamu wa Postmortem Mara Nyingi Ni ma Pathologists au Hata Hawa Ma Forensic Scientists..
Kwa bahati mbaya Sana Kipindi nafanya Specialisation sikuchukua Hayo masomo..
ila kwakuwa Forensic na Pathology as well as Anatomy Ni somo ambalo Kila Daktari Haijalishi level yake ni lazima Kulijibu Nitajitahisi Kwakuwa Najua Basics zake..
Hili swali Limekaa Kisheria Sheria zaidi Kuliko Kidaktari yaani Watu wa Criminology wana Majibu Yake Mengi sana Ola sidhani kama Daktari yoyote anaruhusiwa Kujibu hata kama ni Mahakamani akitoa Ushahidi Kwamba anahisi Huyu Mtu kauliwa Kimakusudi 🤣🤣
Kuna tofauti gani kati ya Insulator na DielectricNdio au kuna shida..
Uliza nipo.hapa
Hahahahahaha aisee nimecheka sana.Mpaka sasa naona unabisha bisha tuu..
Nimeuliza advance una one ya ngapi..
Mbona mambo madogo haya au ndo nyie wa kuunga unga huko na vyeti vyenu vya ajabu...
Unajua kufunga submeter wewe?
Nikuulize vtu vichache kuhusu umeme utanijibu..?
Hahahaha mkuu unaenda kutafuta connection kijanja.Nakuja pm mkuu
Hahahahahah dah.Badae nipo hapa na uzi huu utakua ni kuchuana mimi na wewe tu...
Nataka nikufundishe kitu maana naona unaongelea issue za installation za submeter bila hata kujua who founder of NV power solution