Uchaguzi 2020 Dhana ya "mkono mtupu haulambwi" yaendelea kuonekana katika kura za maoni

Kwani ccm lini mmewahi kuwatetea wananchi tangu tupate uhuru?
 
Uafikiri kwanini Bashite alitaka kudondoka...!?? Pressure!??
 
Kwani Finca ndiyo atapata kibarua bila kukunjua mkono? Sasa hivi nchini kote ni rushwa tu.

Huyo huyo anaye lalamika ndiyo anakuwaga namba moja kuisifia ccm kuwa ndiyo kimbilio la wanyonge.
Tajiri Abood kakukomesha. Nenda kaombe kazi FINCA
 
Kwani Finca ndiyo atapata kibarua bila kukunjua mkono? Sasa hivi nchini kote ni rushwa tu.

Huyo huyo anaye lalamika ndiyo anakuwaga namba moja kuisifia ccm kuwa ndiyo kimbilio la wanyonge.
Akate rufaa akiweka ushahidi usio na shaka. Atapata haki yake.
 
Vijana wenzangu wana CCM hebu tubadili mitazamo, kwanini tunajidanganya kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Siasa ya Chama chetu ni siasa ya aina yake na pengine haipatikani popote pale zaidi ya Tanzania. Kuwa mbunge nchi hii ni kuwa sponsor na sio msemaji wananchi, tulikubali hilo na tutafute pesa huku tukiendelea kujenga chama.

Mimi watu huniuliza kwanini usigombee wakati uko katika position nzuri ya kugombea? Huwa nawacheka tu na kusema hiiiiiiiii, huwa nawauliza hata mnafahamu mnachosema kweli nyie? Kuna mmoja aliniambia hivi “hivi unajua speech yako kabla ya kuomba kura na baada ya kushindwa ina matter sana” ilibidi tu nicheke nikamuuliza unadhani kuna mtu anajali hilo?

Itoshe kusema hakuna mbunge wa CCM aliyewahi kupatikana kwa bahati mbaya, kuna zile chances ambazo ni 0.001% otherwise wengine wote wanakuwa wamepitia katika mahesabu makali ya wajumbe. Ndio maana wengi ni wazee ambao wameshajikusanyia mtaji mkubwa wa kisiasa, Hata wabunge ambao ni vijana wenzetu hawakupata ubunge by chance kuna mifumo fulani fulani iliwabeba, twende kazi!
 
Kudadeeeeki kumbe ndio wewe, saaafi kabisa, safi sana, si unatuonaga wehu tukipiga kelele za kuwaonya hapa. Ingekua upinzani kwa hiki ulichokiandika lazima ungepita sasa ukapeleka njaaa zako huko, ukome kushabikia usiyoyajua. Upinzani ndio wenye uchungu halisi na nchi hii.

Tunaiomba kura yako, ipeleke kwa mpinzani yoyote yule. Maana umeshapata picha halisi ya lichama lako
 

Huyu ni njaa tu inamsumbua, anmgekuwa na hela nae angehonga hivyo hivyo. Aendelee na masters yake ya uchochoroni huko Mzumbe.
 
Tatizo ulitaka kuwadanganya kuwa aliyeua viwanda morogoro ni Abood ambaye ni mpimzani wako na kutaka kuwaaminisha kuwa wewe utavifufua.
wakagundua hizo ni porojo kama porojo nyingine
 
Dhambi mliyoifanya kwa demokrasia yetu ndio imeanza kuwatafuna.. Leo hii hachaguliwi mtu mwenye ushawishi kupambania jimbo bali mwenye pesa. Unafikiri tungekua na uchaguzi huru na haki wana CCM Kawe wangemweka yule dogo? Lakini sababu wanajua atapitishwa tu kwa mabavu wameona wampe tu
 
Karibu upinzani, kwani milango iko huru kwa wanaoonewa, wanaodhulumiwa haki zao, wasiokubaliana na utraratibu na wapenda haki.
 
Na wote mnavyojazana CCM kwa Sasa hivyo vitendo vitakithiri maana CCM wanakosa mshindani wa maana.

Tarajia hivyo vitendo kushamiri zaidi maana MTU anajua akishinda CCM kapata ubunge hivyo watakua wanagawa rushwa kununua wajumbe kwa nguvu zote.
 
Pambaneni tu, si huwa mnasema nyumbani kwenu kumenoga? Shetani hana rafiki, mkae mkijua hivyo vijana.
 
Yaani prof kapuya karudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…