Uchaguzi 2020 Dhana ya "mkono mtupu haulambwi" yaendelea kuonekana katika kura za maoni

Wala sikua na mgombea ila naona kama wakati wake ushapita huyu mzee ni wa kitambo sana
Wakati kupita unaupimaje? Wajumbe hawakuona Kama wakati umepita? Trump wakati wake haujapita? tuliza mshono, Jenga jina urudi 2035 ulingoni.
 
Duuuh! Sawa mkuu, sikujua kama najibishana na baraka kapuya muuaji wa mwanafunzi
 
Back
Top Bottom