Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Ndugu, Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa udini, ukabila na ukanda ndani ya CHADEMA umepandikizwa na CCM!.
Kama hakuna udini, ukabila na ukanda ndani ya CHADEMA, kwa nini Prof. Safari anadai anayenda kupambana nao?. Ina maana Prof. Safari ambaye ana akili timamu anataka kwenda kupambana na jambo ambalo ndani ya CHADEMA?.
Sasa kama Prof. Safari alimaanisha unachokisema, kwa nini anatuambia anataka kwenda kupambana nayo ndani ya CHADEMA, kwa maana kuwa hayo masuala ndani ya CHADEMA anayaona ni tatizo linalomhitaji yeye kwenda kupambana nalo kama Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara.
Kwa nini mnataka kuboresha propaganda zenu kwa kumulisha Safari maneno ambayo hakuyasema?.