Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Chadema is unstoppable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe-m/kiti-Kaskazini
John mrema-mkurugenzi wa bunge-kaskazini
John mnyika NKM-Kaskazini
Joseph selasini-Mkurugenzi wa mifeza-kaskazini
Sumaye-Kamati kuu-Kaskazini
Lema-kamati kuu kaskazini
Lowassa-mwenye chama-kaskazini
Ole sosopo-kaskazini
Grace kiwelu-viti maalum-kaskazini
Rose kamili-viti maalum-kaskazini
Wadau na wanaJF kwa mwenye safu au orodha ya uongozi wa chadema atuwekee hapa ili tuiangalia kama haina udini,undugu,ushemeji au ukanda.
Wanachokipinga chadema ni yaleyale wanayoyafanya wao, ni watu wa ajabu sana
Saa 9Mbowe-m/kiti-Kaskazini
John mrema-mkurugenzi wa bunge-kaskazini
John mnyika NKM-Kaskazini
Joseph selasini-Mkurugenzi wa mifeza-kaskazini
Sumaye-Kamati kuu-Kaskazini
Lema-kamati kuu kaskazini
Lowassa-mwenye chama-kaskazini
Ole sosopo-kaskazini
Grace kiwelu-viti maalum-kaskazini
Rose kamili-viti maalum-kaskazini
Kwahiyo utawala unajifunza kupitia Chadema?Wadau na wanaJF kwa mwenye safu au orodha ya uongozi wa chadema atuwekee hapa ili tuiangalia kama haina udini,undugu,ushemeji au ukanda.
Halafu wakati huo huo Lissu anakuja na madai ya Dotto kuwa ndugu yake JPM. Ina maana CHADEMA wangepewa uongozi wa nchi mzee mamvi asingemuweka mahali pazuri mwanae Fred au ndugu wengine wa karibu?.Chadema na Udini na Ukabila ni Kama chup.i na t.ako!
Chadema haijawahi kuwa na Mgombea Urais ambae hatoki Kaskazini tangu kimeanzishwa zaidi ya robo Karne sasa!
Ukipekua zaidi wote ni ndugu!dini moja!Mbowe-m/kiti-Kaskazini
John mrema-mkurugenzi wa bunge-kaskazini
John mnyika NKM-Kaskazini
Joseph selasini-Mkurugenzi wa mifeza-kaskazini
Sumaye-Kamati kuu-Kaskazini
Lema-kamati kuu kaskazini
Lowassa-mwenye chama-kaskazini
Ole sosopo-kaskazini
Grace kiwelu-viti maalum-kaskazini
Rose kamili-viti maalum-kaskazini
Halafu wakati huo huo Lissu anakuja na madai ya Dotto kuwa ndugu yake JPM. Ina maana CHADEMA wangepewa uongozi wa nchi mzee mamvi asingemuweka mahali pazuri mwanae Fred au ndugu wengine wa karibu?.
Huwa sichoki kuwaonyesha namna ambavyo serikali ya CCM ilivyo na watu kutoka pande zote za nchi.
JPM - Chato
Mama Samia - Unguja
Majaliwa - Lindi
Mbarawa - Pemba
Nchemba - Singida
Mpango - Kigoma
Mwijage - Kagera.
Ingawa huwa sipendezwi na siasa za kikabila au kidini ila CDM ni kama mapoyoyo, yaani wao Lissu na Mbowe wakisema basi maneno yao hayapingiki..Hawa Chadema ni Mapoyoyo ya Kisiasa,
Yanajifanya kuponda Utawala wa JPM kuwa unakandamiza Uhuru wa kutoa maoni lakin wao ukiwa na Mawazo tofauti wanakutukana na kukupa Majina kibao mabaya,
Zitto kapinga wazo la Lissu kutaka Tanzania iwekewe Vikwazo katukanwa hataree mpaka unajiuliza inawezekana je upiganie Uhuru wa kutoa maoni wakati Wewe Mwenyewe unataka kufanya Maoni yako Kama Maandiko matakatifu Watu wasiwaze tofauti na Wewe!
Hayo hayatuhusu...tuwekee safu ya uongozi wa chadema hapa tuichambue kwa jicho la lisu.Chadema unailinganisha na nchi?
Chama kinaweza kuwa na ufuasi wa kueleweka upande mmoja wa nchi hivyo viongozi wake ni lazima wawe ni upande huo.
Unafikiri mpaka kufika mwaka 1977 ccm ilikuwa ipo Zanzibar au Pemba?
Kule ilikuwa ASP
Zitto anawachora sana hawa jamaa. Balozi wa Japan na Zitto wamekuwa pamoja Kigoma kwa karibu siku tatu.Hawa Chadema ni Mapoyoyo ya Kisiasa,
Yanajifanya kuponda Utawala wa JPM kuwa unakandamiza Uhuru wa kutoa maoni lakin wao ukiwa na Mawazo tofauti wanakutukana na kukupa Majina kibao mabaya,
Zitto kapinga wazo la Lissu kutaka Tanzania iwekewe Vikwazo katukanwa hataree mpaka unajiuliza inawezekana je upiganie Uhuru wa kutoa maoni wakati Wewe Mwenyewe unataka kufanya Maoni yako Kama Maandiko matakatifu Watu wasiwaze tofauti na Wewe!
Kisheria chama cha siasa ni taasisi ya umma.Mkuu unalinganisha chama na dola? Hao wa chama wawekane tu, ila serikalini hatutaki hzo mambo, serikali ni taasis nyeti ya umma