Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

'little knowledge is a poison of truth' kuna watu wanaoituhumu chadema katika misingi ambayo ni ya uongo na yenye lengo la kupotosha ukweli. Kwa mfano watu ni chama cha kikristu. cha wachagga na zaidi cha kikanda.Ni vizuri watu wajue kuwa kwa muda mrefu kanda ya kaskazini imekuwa na dhana za upinzani kwa muda mrefu. Hili liko wazi kwani mbunge wa kwanza wa upinzaji alitokea mbulu tena wakati wa nyerere. Upinzani mkubwa pengine katika level ya kitaifa ni pale Mrema alipogombea uraisi kupitia NCCR-MAGEUZI. CAF ilikuja lakini upoteza umaarufu kwa muda mfuupi, huku kambi zake ikiwa ni Zanzibar na ukanda wa bahari ya hindi. Chadema nayo ndio ipo sasa. Kutokana na ukweli kwamba chadema ilianzishwa na watu ambao katika maeneo wanayotekea dhana ya upinzani ilikuwa imeeleweka tayari,hivyo ikawa rahisi kupata watu wenye sifa na uwezo wa kufanya makumu maalum katika chama.Lakini baada ya operations za mikoani watu wameelewa dhana ya chadema na ndio maana hata viongozi wamewanza kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi. Na jee mbona sijawasikia watu hawa wakisema Cuf ni chama cha kiislam kwa sababu viongozi wake wengi ni waislaam? au CCM imekuwa na majina kama mwinyi, karume,makamba, mnauye na jee tuseme hiki nacho ni chama cha kifamilia? naomba kuwasilisha
 
Permanides..kama hujasikia cuf kuwa ni ya waislam na wapemba basi umri wako ni mdogo sana hauzidi meizi 2 namshukuru mungu kwa kukupa uwezo wakujua baadhi ya duniani ukiwa na umri mdogo kiasi hicho..alahamdulilla ukikuwa utayajua mengi na utajua cuf ni kiislam kama cdm ilivyo yakikiristo.. chama pekee kisicho na mrengo maalum wa kiiman na kikabila ni ccm na nccr ya mbatia..
 
ningekuwa ugiriki ningekuambia "even a man of sense" angejua kuwa mimi siyo mtoto wa huo umri unaofikiri. Hizo hoja za ukristu kwa chadema na uislam wa pemba kwa CAF, zimekuwepo kama zilivyo za waarabu kuuziwa nchi na mifano mbalimbali ikitolewa?. Lakini ukweli wa hizo hoja unaweza kudhibitishwa? Na je hata hiyo NCCR si nusura wamfukuze Mbatia kwa mbinu chafu zilizoshindwa? anyway nilizungumzia vitu vyingi tusubiri wengine waliosoma yote tuone na mawazo yao labda yatakuwa sensible
 
Chadema itakuwa inakaribishwa kunywa chai Ikulu milele.
 
Kwa taarifa yako katika kujaribu kuikataa hii propaganda, CDM watawaweka Waislamu ambao sio wachaga kwenye nafasi za ZZK na Arfi hata kama kutakuwa na wakiristo/wachaga wenye vigezo zaidi ya vya hao watakao kuwa wamechaguliwa.

Baada ya hapo wewe mwenyewe utakaa ujiulize wanataka kujustify nini?
Kamati kuu ya chadema si kanisa.Ina watu wenye imani za tofauti.Watafanya maamuzi ambayo ni sahihi kwa maslahi ya chama chaoo na Taifa.CCM kina matatizo,previledge yake ni kwasababu once upon a time ilkuwa ni lazima uwe mwanaccm
 
"Tunapopongeza juhudi zao hizi tunahitaji pia kuwapongeza wakuu wetu wawili wa kwanza ambao kimsingi waliweka msingi mzuri sana wa kutong'ang'ania madaraka na badala yake kuachia mapema na kumwachia mwingine kidemokrasia bila vurugu."
Mwenyekiti wenu wa kwanza alikaa kwenye nafasi yake kwa muda gani?unadhani kujenga chama kazi rahisi.Wabongo ndivyo tulivyo,tunapenda kufanyiwa kazi halafu tuje kudandia.CCCM yenyewe ipo madarakani kwa miaka 50 lakini bado tuko masikini wa kutupwa.
 
Acha kabisa wachaga tuna kazi ndani ya nchi hii, Lipumba ni mwenyekiti wa pili wa CUF baada ya mzee Mapalala hadi sasa hamna anayehoji, achilia mbali akina cheyo, mtikila, maalim seif na wengineo wenye tiketi za kudumu za kuongoza vyama vyao lakini kosa ni kuwa mchaga!
Mkuu sikubishii ila ni katika kuweka kumbukumbu sawa, kuna mzee mwingine kabla ya Lipumba alishawahi kuwa mwenyekiti, kama nakumbuka vizuri jina lake ni Msabi Mageni.
 
Ccm kuanzia TANU 1954 - TODATE say up to 2015 ie 61 imeongozwa na wenyeviti wanne:
JK Nyerere
AH Mwinyi
B Mkapa
JM Kikwete

CUF Since 1992...how many wenyeviti wameongoza?

NCCR ?

TLP?

CHADEMA 1992- 2014 ie 22 years. Wenyeviti wangapi wameongoza? Kwa ninj CDM KUNAHOJA KUWA MKITI WA SASA AMEKAA MNO?

TAFAKARI
 
CHADEMA Ni wawili tu babaangu! TOKA MWAKA 1992.
 
Hii dhana kuipinga ni ngumu sana na ndiyo kirusi kinachoitafuna Chadema.

hata kirusi cha HIV kilitengenezwa na wanasayansi maabara wakidhani wanatafuta tiba ya fungi, lakini kikawageuka na wasiweze kukidhibiti kama CCM itakavyotafunwa na ukabila, udini waliouanzisha
 
Ccm kuanzia TANU 1954 - TODATE say up to 2015 ie 61 imeongozwa na wenyeviti wanne:
JK Nyerere
AH Mwinyi
B Mkapa
JM Kikwete

CUF Since 1992...how many wenyeviti wameongoza?

NCCR ?

TLP?

CHADEMA 1992- 2014 ie 22 years. Wenyeviti wangapi wameongoza? Kwa ninj CDM KUNAHOJA KUWA MKITI WA SASA AMEKAA MNO?

TAFAKARI
Pia usisahau kufactor in muda walioongoza.Mfano ukianzia na mwalimu Nyerere na ccm.CCM ina umri karibia mara tatu ya chadema,lakini wamepishana kubadili uongozi mara moja tu.CCM imebadili wenyeviti mara nne,na chadema mara 3.
 
CHADEMA Ni wawili tu babaangu! TOKA MWAKA 1992.
CCM tangu ilipokuwa TANU miaka ya 50,imebadilisha mwenyekiti mara nne,chadema imebadilisha mara tatu na imeanzishwa miaka ya 90.
 
Chama hiki kimejipambanua kuwa ni cha wachaga kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Viongozi wakuu wa juu hawakuchaguliwa kwa sifa bali ni kwa kabila lao. M/kiti, mtunza fedha akina mnyika. Makatibu wengi wa mikoa ni akina kilewo, munisi, kiwia
2. Kati ya wabunge 25 wa kuteuliwa hakuna wanaotoka mikoa ya kusini ya mtwara na lindi kama wapo tutajie
3. Asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa ni wachaga au watu wanaousiana na big fish kama vile rose kamili, dada yake lisu n.k.
4. Kwenye chadema sio tu chama cha kikabila bali ni chama chenye mwelekeo wa kifamilia.

Sasa ni cha kikabila ua cha kifamilia?kati ya wabunge 25 wakuteuliwa wangap wachaga?
 
Wapuuzi tu wanaosema chama cha kikabila. Wote waliosimamishwa Na chama kuwania na wakashinda ubunge mbeya sio wachaga. Kinakuwaje cha kikabila.
 
Kamati kuu ya chadema si kanisa.Ina watu wenye imani za tofauti.Watafanya maamuzi ambayo ni sahihi kwa maslahi ya chama chaoo na Taifa.CCM kina matatizo,previledge yake ni kwasababu once upon a time ilkuwa ni lazima uwe mwanaccm

Wewe upo, mimi nipo! Tusubiri tuone nani anachaguliwa kuziba hizi nafasi, from there tutajadili.
 
Chadema ni chama cha kikabila na hili liko wazi kabisa hakuna mjadala.Ni chama cha kichaga chenye lengo la kuendeleza fikra za kibaguzi za akina chief Marealle ambazo Nyerere alizikataa katakata,msitufanye watz mazezeta kuwa hatujui kilichopo nyuma ya pazia

Punguza uvivu wakufikiri!
 
Wewe upo, mimi nipo! Tusubiri tuone nani anachaguliwa kuziba hizi nafasi, from there tutajadili.
Sitashangazwa ikitokea wakachaguwa mwanachadema aliye na qualifications za uongozi na akatokea kuwa muislam,sitoshangazwa hata kidogo.
 
Sitashangazwa ikitokea wakachaguwa mwanachadema aliye na qualifications za uongozi na akatokea kuwa muislam,sitoshangazwa hata kidogo.

Tutachambua uwezo na CV za hao watakaochaguliwa against walioachwa ki-uzoefu, ki-uwezo na ki-taaluma. Naamini hakijifichi kitu ndani ya JF.
 
Back
Top Bottom