Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga wa kijinga hakuna Mungu wa kihivyo,hizo ni Hadith na ngano za wagiriki na wayahudi wa kaleYaaanii unataka kutuingiza wote kwenye upotofu wako tuanze kumjadili MUNGU kitoto toto hivii!!! Dah!!! MUNGU Akusamehe!?
Watu hawapendi kushuhurisha akiliNaamini tumeaminishwa vitu tofauti na uhalisia
Yani tunavyoamini na jinsi ukweli ulivyo kuna tofauti lakini jambo la uhakika ni kwamba kuna nguvu ya asili inayoendesha haya mambo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kiufupi watu wanaamini dhana ya Mungu wamejijengea hofu for nothing,yaani huyo wanaehisi ni mtukufu na untachable ndie mwanzilishi wa matatizo Yao,
Imagine ameanza Kwa kuwasababishia matatizo ila still Bado wanamwamini tu,
Huyo Mungu kama angekuwepo kweli iliwapasa wamwaminio wafunguke akili na kumuona ndio adui Yao Nambari one,
Ndio nakazia Mungu Ndie adui namba Moja Kwa mwanadamu Kama Kuna mtu ananibishia aniqote nimprove wrong!
Elimu kuhusu Nini Kwa mfano?Wewe unajua elimu zote zilizopo duniani??!!
Elimu kuhusu Nini Kwa mfano?
unazunguka duara be free hebu nenda Kwenye point!Kuna elimu za aina mbalimbali duniani ambazo watu hujifunza, mfano Elimu ya hisabati, ufundi wa magari nk,--- je wewe unajua elimu ZOTE zilizopo duniani??!
unazunguka duara be free hebu nenda Kwenye point!
ndio nazijua Kuna elimu yaSwali mbona rahisi tu; je wewe unajua elimu zote zilizopo duniani??!
Haya ni maelezo ya kitoto sana ni ya level ya darasa la saba.Habari wakuu,
Huu mjadala ni mpana sana na upo tangu miaka mingi sana, nitaeleza nadharia ya uwepo wa mbingu na Mungu jinsi ulivyoibuka, nitatumia mifano ya sasa na ya kale ili niweze kueleweka,
Nitaanza na concept ya mbingu. Fikiria maisha jinsi yalivyo magumu, fikiria changamoto za kimaisha unazopitia mfano huna ajira, huna shughuli yeyote, biashara ngumu, huna uwezo wa kununua chakula, unaumwa huna pesa ya kwenda lutibiwa hospitali, umebambikiziwa kesi na wanasiasa, hujapata mtoto, umelima mazao yamepigwa ukame hakuna utakacho vuna, umepata msiba wa mtu unayempenda kafariki ghafla n.k majanga ni mengi
Kumbuka upo Tanzania, bara la Afrika sayari ya tatu iitwayo dunia wengi mnaiita duniani,
Sasa unaambiwa kuna nchi inaitwa mbinguni lakini haijulikani ilipo, Raisi wa hiyo nchi ni mungu, mawaziri ni malaika na kwenye hiyo nchi hakuna changamoto zozote za kimaisha yaani vyakura vipo vya kutosha, mazingira ni mazuri, kuna bustani nzuri, kuna hewa safi, hakuna magonjwa na ukiwa huko hauwezi kufa, huitaji ajira wala kufanya biashara ili uweze kujikimu yaani bata zote ni bureeee ,
Lakini ili uingie kwenye hiyo nchi ni lazima ufe kwanza kisha siku ya mwisho utafufuliwa utafanyiwa interview kwa kuangalia experience ya matendo yako, kama ulitenda mema utaingia huko kama ulitenda mabaya hutaingia kwenye nchi ya mbinguni yaani bata utazisikia tuu na utapewa adhabu ya kuchomwa moto na kufa mara ya pili ila inasemekana kabla hujachomwa utafungwa minyororo miaka elfu moja kwanza ndio uchomwe mpaka kufa.,
kabla raisi wa mbinguni ambaye ni mkombozi atakachokifanya muda mfupi kabla ya zoezi la kuwafufua wafu na kuwafanyia interview
assume siku ya tukio ni mwaka 2021 december. Wale watakao kuwepo siku hiyo wataungana na watakaofufuliwa kwenye kufanyiwa interview ya kuingia katika nchi yenye asali na maziwa na bata zote
Hiki ndicho kinachofanya watu tunasali usiku na mchana ili tupate tiketi ya kuingia mbinguni.
Duh!! Hili swali mbona hata mtoto mdogo analijibu!!!Binadamu alitoka wapi na chanzo cha ulimwengu ni nini?
"ALL THINGS DENOTES THERE'S GOD."Haya ni maelezo ya kitoto sana ni ya level ya darasa la saba.
Hakuna kitu kinachotokea tu bila ya kuwa na chanzo.
Mfano ukiona Samsung Galaxy pale Kariakoo au Land Rover vogue,au system ya whatsaap,utakuwa ni mjinga kuamini hivi vitu vimetokea tu kibahati bahati!! Hakuna aliyevitengeneza!!
Sasa iangalie Dunia,na ulimwengu,angalia mwanadsmu na mifumo yake ya ubongo,kupumua,moyo,damu,hivi vitu haviwezi kutokea tu!!kwa akili ile ile,lazima Kuna super power Ili design hii mambo!!hiyo super power ndio Mungu
Duh!! Hili swali mbona hata mtoto mdogo analijibu!!!
Binadamu hujui kuwa ametokana na sperm and egg!?
Mzee hujawahi kusoma biology!? Sperms and Eggs zinatokana na stem cell. Au hujui hilo. Halafu sperms zinazalishwa na mwanaume eggs huzalishwa na mwanamke.Na sperm na egg vilitoka wap msomi??
Kila kitu kina mwanzo Hata huyo super power anayeitwa Mungu lazima awe na chanzo tujadili!Haya ni maelezo ya kitoto sana ni ya level ya darasa la saba.
Hakuna kitu kinachotokea tu bila ya kuwa na chanzo.
Mfano ukiona Samsung Galaxy pale Kariakoo au Land Rover vogue,au system ya whatsaap,utakuwa ni mjinga kuamini hivi vitu vimetokea tu kibahati bahati!! Hakuna aliyevitengeneza!!
Sasa iangalie Dunia,na ulimwengu,angalia mwanadsmu na mifumo yake ya ubongo,kupumua,moyo,damu,hivi vitu haviwezi kutokea tu!!kwa akili ile ile,lazima Kuna super power Ili design hii mambo!!hiyo super power ndio Mungu