Dhana ya uwepo wa Mungu na mbingu

Yaaanii unataka kutuingiza wote kwenye upotofu wako tuanze kumjadili MUNGU kitoto toto hivii!!! Dah!!! MUNGU Akusamehe!?
 
Yaaanii unataka kutuingiza wote kwenye upotofu wako tuanze kumjadili MUNGU kitoto toto hivii!!! Dah!!! MUNGU Akusamehe!?
Acha uoga wa kijinga hakuna Mungu wa kihivyo,hizo ni Hadith na ngano za wagiriki na wayahudi wa kale
Funguka!
Funguka!
Akili iwe huru ndugu zanguni hizo ni propaganda tu hakuna uhalisia wowote!
 
Naamini tumeaminishwa vitu tofauti na uhalisia
Yani tunavyoamini na jinsi ukweli ulivyo kuna tofauti lakini jambo la uhakika ni kwamba kuna nguvu ya asili inayoendesha haya mambo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Naamini tumeaminishwa vitu tofauti na uhalisia
Yani tunavyoamini na jinsi ukweli ulivyo kuna tofauti lakini jambo la uhakika ni kwamba kuna nguvu ya asili inayoendesha haya mambo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Watu hawapendi kushuhurisha akili
 
Hiii mada nzuri sana ila watu wanaikimbia why?
Naifufua again naanza hivi
Mtoa mada big up ulikuja na idea nzuri sana,
Hapo mwanzo watu walimuumba Mungu vichwani mwao Ili kujifariji kutokana na matatizo na changamoto zilizowakabili!
 
Kiufupi watu wanaamini dhana ya Mungu wamejijengea hofu for nothing,yaani huyo wanaehisi ni mtukufu na untachable ndie mwanzilishi wa matatizo Yao,
Imagine ameanza Kwa kuwasababishia matatizo ila still Bado wanamwamini tu,
Huyo Mungu kama angekuwepo kweli iliwapasa wamwaminio wafunguke akili na kumuona ndio adui Yao Nambari one,
Ndio nakazia Mungu Ndie adui namba Moja Kwa mwanadamu Kama Kuna mtu ananibishia aniqote nimprove wrong!
 


Wewe unajua elimu zote zilizopo duniani??!!
 
Swali mbona rahisi tu; je wewe unajua elimu zote zilizopo duniani??!
ndio nazijua Kuna elimu ya
Nyota na Anga,Hisabati,Uhandisi,
uchimbaji madini,Tiba,Mapambo hizo ni baadhi ya elimu kubwa ambazo watu walianza kuzifanya na kutokea Kwa Civilization kubwa Toka Hapo kale na ndio nazozifahamu!
 
Haya ni maelezo ya kitoto sana ni ya level ya darasa la saba.
Hakuna kitu kinachotokea tu bila ya kuwa na chanzo.
Mfano ukiona Samsung Galaxy pale Kariakoo au Land Rover vogue,au system ya whatsaap,utakuwa ni mjinga kuamini hivi vitu vimetokea tu kibahati bahati!! Hakuna aliyevitengeneza!!
Sasa iangalie Dunia,na ulimwengu,angalia mwanadsmu na mifumo yake ya ubongo,kupumua,moyo,damu,hivi vitu haviwezi kutokea tu!!kwa akili ile ile,lazima Kuna super power Ili design hii mambo!!hiyo super power ndio Mungu
 
Binadamu alitoka wapi na chanzo cha ulimwengu ni nini?
 
"ALL THINGS DENOTES THERE'S GOD."
 
Msome mwanafalsafa Karl Marx utaelewa zaidi. Unaogopeshwa eti toa fungu la kumi kwa Mungu (Mungu ni matumbo ya wajanja)
 
Kila kitu kina mwanzo Hata huyo super power anayeitwa Mungu lazima awe na chanzo tujadili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…