Dhana ya wananchi kuchukulia siasa ni sehemu ya kiburudisho kama mpira na filamu

Dhana ya wananchi kuchukulia siasa ni sehemu ya kiburudisho kama mpira na filamu

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,092
Reaction score
808
Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara.

Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana. Kwa sababu wanafeel kinachowakabili.

Lakini kwa Tanzania ukileta story ya siasa, watu hawachukulii serious, ni kuchekacheka, kuandika visentensi vifupi vya matusi na vi thoery vya kijinga, kukebehi. Mwisho wa siku kitu cha maana kinabadilika kua utani.

Lakini mtu akija na conversation inayomhusu Diamond ana utajiri kuliko Ali Kiba au Simba ni bora kuliko Yanga, watu wanabishana kutaka kuuana.

Hii ni nini na muarobaini wake ni niin wakuu. Kwanini mambo yanahusu maisha yetu ya kila siku yanapuuzwa. Kwanini tunaendekeza huu utamaduni?
 
Elimu duni lishe duni makazi duni huduma za afya duni unategemea nn?

Ukitaka kuwajua vizuri Watanzania simama yanapouzwa magazet uone magazeti yanauoisha haraka!

Ukitaka kumjua vizuri tena muwe mmekaa mahali halafu kuwe na screen king'amuzi ni fully recharged uone program anazoangalia.

Utashangaaa sana
 
Elimu duni lishe duni makazi duni huduma za afya duni unategemea nn!??
Ukitaka kuwajua vizuri watanzania simama yanapouzwa magazet uone magazeti yanauoisha haraka !!!
Ukitaka kumjua vizuri tena muwe mmekaa mahali halafu kuwe na screen king'amuzi ni fully recharged uone program anazoangalia!!!
Utashangaaa sana
Naona kwenye hata huu uzi wameanza kuponda. Kama kuna mmoja anasema "andamana".
I told yu ma nigga. These people are like mosquitoes. They never stop critisizing without facts
 
Elimu duni lishe duni makazi duni huduma za afya duni unategemea nn?

Ukitaka kuwajua vizuri Watanzania simama yanapouzwa magazet uone magazeti yanauoisha haraka!

Ukitaka kumjua vizuri tena muwe mmekaa mahali halafu kuwe na screen king'amuzi ni fully recharged uone program anazoangalia.

Utashangaaa sana
Watz ni mbwa tena koko
 
Back
Top Bottom