Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Nimefika tu nikaulizwa wee mbona unakuja bila kusema? Alieniuliza ni mtoto wa mama mdogo na shemeji yangu. Nikamuangalia nikamuacha kama alivyo. Nilienda kwa ndugu yangu kaolewa kule. Wenye nyumba nilishawaomba nifikie pale hivyo walikua wanajua ujio wangu. Nikafanya kilichonipeleka huyo nikajiondokea.

Tutulie majumbani mwetu.
 
Asante 🙌🏾
 
Sina mda wa kwenda kwa watu pasipo kutoa taarifa, kwani naanzajee.
Dharau ndogondogo sio shida zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😅😅😅zinaboa sana
 
Back
Top Bottom