DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.

Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
 
Mbona uzi wako umeuleta kiumbea zaidi? Kwani ukishawajua utawafanya nini?

Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.

Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
 
joshua nassari
source npashe gazet la leo tar 20 ukurasa wa mbele
 
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.

Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.

nawe hazikutoshi, ushughulike nao umewateua wewe? Hivi nyie akili zenu ziko likizo? ungekuja na wazo la kushughulika na aliyeng'ang'ania kuwateua badala ya kuwaachia wananchi wenyewe ndo wajichagulie. leo kuna mtu na mkewe wote kawateua yeye tena toka chama kimoja unategemea nn? waache waendelee kutukomesha si watz mnajifanya hamnazo ushabiki ndo mmeuweka mbele kuliko mambo ya maana?
 
serikali itapata mamlaka kutoka kwa wananchi:- KATIBA
 
Wabunge wanachekesha sana wanasema eti kwa hadhi waliyo nayo hawawezi kulala kwenye nyumba za kulala wageni za vichocholoni.
 
Nashukuru kwa kiswangilishi chako!Tatizo Mnapenda sana habari za udaku nimeuliza kwani ukiambiwa utawafanya nini, mbona wauza unga au wauaji wa wanyama pori haujawachukulia hatua?

As time goes by unakuwa nuisance!!!!!!
 
Nashukuru kwa kiswangilishi chako!Tatizo Mnapenda sana habari za udaku nimeuliza kwani ukiambiwa utawafanya nini, mbona wauza unga au wauaji wa wanyama pori haujawachukulia hatua?

"Name and shame" ushaisikia mkuu????!!!!
 
Tatizo unajifanya unajua sana kiingereza chako cha kukakiririsha misamiati ya kiingereza wakati huwezi kuongea hicho kiingereza mfululizo hata walau hata dk 10 tu.

Back
Top Bottom