Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
Utakuwa unatumia ubongo wa samaki, nikikuandikia majina yangu yatakusaidia nini? na unayataka ya nini?
...bilashaka wewe ni Makonda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unatumia ubongo wa samaki, nikikuandikia majina yangu yatakusaidia nini? na unayataka ya nini?
...bilashaka wewe ni Makonda...
Unagoongwa wewe mpenda ubwete, unalalamika tu fanya kazi unadhani serikali itakuwekea pesa mfukoni, Ubongo wako hauna tofauti na samaki....
Hata ukilalamika haikusaidii, fanya kazi uapte pesa yako utambe mjini zaidi ya hapo utaendelee kula vumbi tu na kumwagiwa matope barabarani nadhani umenielewa kijana mpenda ubwete.
Mi nataka kuwanunua!!!Mbona uzi wako umeuleta kiumbea zaidi? Kwani ukishawajua utawafanya nini?
nawe hazikutoshi, ushughulike nao umewateua wewe? Hivi nyie akili zenu ziko likizo? ungekuja na wazo la kushughulika na aliyeng'ang'ania kuwateua badala ya kuwaachia wananchi wenyewe ndo wajichagulie. leo kuna mtu na mkewe wote kawateua yeye tena toka chama kimoja unategemea nn? waache waendelee kutukomesha si watz mnajifanya hamnazo ushabiki ndo mmeuweka mbele kuliko mambo ya maana?
kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (nipo serious tafadhali).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.
Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, wekeni majina tafadhali.
hilo jopo kiongozi wao lazima atakuwa nkamia maana hajitambui cjui warangi walitumia vigezo gain kumchagua
Tatizo lenu vijana mnakurupuka sana, wewe unataka wakutajie majina ya wataka posho ziongezwe, mbona hujawahi kutaka utajiwe majina ya wauwaji wa dovu, chui na faru?
Usidandie hoja mi namjibu huyo anayejifanya anamdomo mchafu utadhani anasukutulia maji ya chooni.
Richard ndassa