DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

Wewe anzisha uzi wa majangili acha kukalia channel hapa!!!!!!
Hili wazo la mtoa mada wewe kama unaona vipi anzisha wako kwa muktadha unaoona unafaaa!!!!!!

Ushamba kitu kibaya sana! !!!!%

Ushamba MzigoMzito na dawa yake ni Kuutua...........
 
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.

Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
Tulivyosema WAJUMBE hawa wachaguliwe na wananchi tulikuwa na maana yetu - sasa hata kama ukiwajua itakusaidia nini, hawana kura yako bali wana wito (chaguo) la Mkuu wa nchi ambaye ndiye aliyewapeleka huko na hizo posho hawakuombi wewe bali nanamuomba yeye aliyewachagua.

Ana HIARI ya kuwapa au kutowapa, sisi hapa tutapiga kelele tu lakini end of the day Mkuu wao ataamua kipi kinawafaa.
 
Acha kunitusi nani mwanamke sasa, kama huwezi kujiajiri unataka ajira za serikali au watu binafsi funika kopo lako fanya kazi.

Ungekuwa mtoto wa kiume na unajua risk ya kutafuta oesa tunayokutana nayo wanaume wewe mtoto wa kike usingefurahia kuongezwa posho watu wakiwa wamekaa after all sio profession ni uteuzi! !!!!!!

Kama mtu ni mfanyakazi kwa merit analipwa that money sio shida ila hao hawastahili mama wa kilabuni wewe unayeshangilia huyu anayeitwa sungura mdogo leo kugawiwa kwa wachache kama kaishakiwa tembo!!!!!!! Hivi unajua unahitaji mtaji kiasi gani kupata hiyo laki tatu kwa siku????!!!! Halafu unabana pua hapa na mipasho????!!!! Watu wanagomea EFD ya laki nane leo mtu alipwe laki tatu kwa siku huku umeme na nishati vinapanda, umesikia ada za masterz????!!! Fcuk you embasile!!!!!! Do you know what it cost to take a child to an average medium school (kindergatten)?????!!!!!

About magari na pesa kwa attitude yako tuyaache tu mkuu sababu kwanza bado una mentality ya mshahara!!!!! Siyo topic ya leo hii ila jua na kuanzia leo fikiria kwa mapana na marefu wewe kuwa na gari (kama sio usafiri)isikusahaulishe wakina mama wanaoteka maji kwa kichwa vijijini,wafugaji hawana majosho, wakulima wanakopwa mazao, watoto under five dawa wananunuliwa na.wazazi???!!!!! Kuna thread humu inasema kuna shimo barabarani downtown umeiona???!! Unajua ina indicate nini??!!

Think big mdada muuza wewe!!!!!
 
Mnapenda kujua majina hafu mkiambiwa ndo mtafanya nini? Kama mafisadi wanaofanya umeme unaendelea kupanda bei kwa wao kuneemeka mbona bado mnawachagua?

Wewe anzisha uzi wa majangili acha kukalia channel hapa!!!!!!
Hili wazo la mtoa mada wewe kama unaona vipi anzisha wako kwa muktadha unaoona unafaaa!!!!!!

Ushamba kitu kibaya sana! !!!!%
 
Usidandie hoja mi namjibu huyo anayejifanya anamdomo mchafu utadhani anasukutulia maji ya chooni.

Kapalamsenga utakuwa na matatizo makubwa sana. Kama uliona mtoa mada hawezi fanya lolote hata akipewa majina, ungeweza kunyamaza tu na usingepata hasara yoyote. Unakoelekea naona ulianza kumvaa mtoa mada na sasa umemvaa mtu wa tatu. Kwa busara za kawaida tu haiwezekani wote hao wakawa ni wakosaji isipokuwa wewe tu.
 
Acha kunitusi nani mwanamke sasa, kama huwezi kujiajiri unataka ajira za serikali au watu binafsi funika kopo lako fanya kazi.

Kote uongeleapo be it kujiajiri au kuajiriwa huna hoja ya kutetea hayo unayosimamia hivi unajua mwalimu shule ya msingi mshahara kwa mwezi, unajua mshahara wa nurses?????

Nimekuuliza unajua income ya laki tatu kwa siku unatakiwa kuwa una run mtaji wa shilingi ngapi husemi! !!!!!!!!

Nakuuliza unajua laki tatu ni pango la nyumba nzima mikoani??!!!! Sasa jiulize nyumba thamani yake ndio ujue hiyo cash ya 300,000tshs kwa siku halafu endelea kubana pua!!!!

Katika mji uliopo just ask fremu ya biashara kwa mwezi ni shilingi ngapi ukiondoa K'koo pamoja na kuwa hujui sababu ya kuondoa K'koo (kama upo Dar).

Halafu unaongelea uanaume wakati michakato ya kuifikia hiyo 300 kwa siku hujui kiasi cha jasho wala concentration ya chumvi yake!!!!!!

Unakuja na msimamo wa kiboya hapa halafu usiitwe dada,kaa kiume utatambulika hivyo!!!!!!
 
Nadhani yote ni maccm tu....mitumbo imeshiba ufisadi lkn sasa yameamua kujonyesha waziwazi tabia zao halisi
 
Mimi ni miongoni mwa waliokuwa wanalaani wale wanaodai posho iongezwe,sasa kuna mahali nimesoma
kwamba wabunge wa baraza la wawakilishi toka zanzibar wanalipwa 420,000/=.kama hii habari ni kweli,tujiulize ni kwa nini wajumbe wa bunge moja walipwe tofauti? isije ikawa hongo ili wapitishe serikali mbili kiulaini.
kama habari hizi ni za kweli naomba wale wa baraza la wawakilishi nao walipwe hiyo laki tatu,ili kuwepo ulinganifu.
lakini kama hizo habari si za kweli basi wote walipwe laki tatu maana inatosha.
Taarifa ya rais ya kuaga mwaka alisema infration rate imeshuka kufikia 6.4% hivyo hiyo laki tatu ni nyingi mno kwa siku.
 
Tatizo lako unadhani kujiajiri ni kukopi kile anachofanya mwenzio nadhani hapa ndiyo huwa mnakuwa waoga, kijana huwezi kukaa na kuridhika tu eti napata laki3 kwa mwezi so what? Ondoa regime hiyo madarakani ili upate unafuu wenzio wanakamua posho wizarani na agency za serikali hafu unabaki kutumbua mimacho lo!
Badilika usifikirie baishara za kujaza fremu ambazo kila kona unatazikuta jaribu kuwa tofauti, kalime hata miwa kilombero au Mtibwa, kalime mahindi, mpunga nk, kukaa mjini kusikufanye ufikiri vijijini hakuna fursa.

Kote uongeleapo be it kujiajiri au kuajiriwa huna hoja ya kutetea hayo unayosimamia hivi unajua mwalimu shule ya msingi mshahara kwa mwezi, unajua mshahara wa nurses?????

Nimekuuliza unajua income ya laki tatu kwa siku unatakiwa kuwa una run mtaji wa shilingi ngapi husemi! !!!!!!!!

Nakuuliza unajua laki tatu ni pango la nyumba nzima mikoani??!!!! Sasa jiulize nyumba thamani yake ndio ujue hiyo cash ya 300,000tshs kwa siku halafu endelea kubana pua!!!!

Katika mji uliopo just ask fremu ya biashara kwa mwezi ni shilingi ngapi ukiondoa K'koo pamoja na kuwa hujui sababu ya kuondoa K'koo (kama upo Dar).

Halafu unaongelea uanaume wakati michakato ya kuifikia hiyo 300 kwa siku hujui kiasi cha jasho wala concentration ya chumvi yake!!!!!!

Unakuja na msimamo wa kiboya hapa halafu usiitwe dada,kaa kiume utatambulika hivyo!!!!!!
 
Mnapenda kujua majina hafu mkiambiwa ndo mtafanya nini? Kama mafisadi wanaofanya umeme unaendelea kupanda bei kwa wao kuneemeka mbona bado mnawachagua?

Umeona mentality ya kijjinga sana hii ndio maana wenye busara wanataka majina ili kuendelea kujiridhisha kuwa wakina nani wako upande gani; hao unaowaita mafisadi bila kutajwa leo ungewajua????!!!

Acha ujanja wa mkasi kufurahia kukata kitambaa huku ukichomolewa vidole hauna la kufanya!!!!!Majina yanatakiwa ili kujua true colours na sio political inclination au party caucus na kwa majina ni rahisi kuwabana wakija majimboni come 2015 mama mlevi weeewe!!!!!
 
Walimu wenye maonowanakimbilia maeneo ambayo kuna mvua za kutosha ili wajishughulishe na kilimo na wanapata pesa, wanaotaka kukaa mjini wanataka wafundishe twisheni na ndiyo wenye lawama tele kuhusu kutoridhika na mishahara, kuwa makini chukua hatua.

Kote uongeleapo be it kujiajiri au kuajiriwa huna hoja ya kutetea hayo unayosimamia hivi unajua mwalimu shule ya msingi mshahara kwa mwezi, unajua mshahara wa nurses?????

Nimekuuliza unajua income ya laki tatu kwa siku unatakiwa kuwa una run mtaji wa shilingi ngapi husemi! !!!!!!!!

Nakuuliza unajua laki tatu ni pango la nyumba nzima mikoani??!!!! Sasa jiulize nyumba thamani yake ndio ujue hiyo cash ya 300,000tshs kwa siku halafu endelea kubana pua!!!!

Katika mji uliopo just ask fremu ya biashara kwa mwezi ni shilingi ngapi ukiondoa K'koo pamoja na kuwa hujui sababu ya kuondoa K'koo (kama upo Dar).

Halafu unaongelea uanaume wakati michakato ya kuifikia hiyo 300 kwa siku hujui kiasi cha jasho wala concentration ya chumvi yake!!!!!!

Unakuja na msimamo wa kiboya hapa halafu usiitwe dada,kaa kiume utatambulika hivyo!!!!!!
 
Dah wengine kipato chao kwa mwezi unakuta hata nusu ya hiyo wanayogomea haifiki leo anakataa laki 3 kwa siku! This is so terrible! Wanaona hapo ndo pakutokea kimaisha!
 
Back
Top Bottom